Shaffih Dauda ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF, malalamiko angepeleka TFF

Shaffih Dauda ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF, malalamiko angepeleka TFF

Adhabu aliyopewa Shaffih ni kubwa sana lakin ukifuatilia hili sakata utagundua Shafii anakosea sana wewe ni mjumbe wa mkutano mkuu mda uko bize kuniponda TFF kama ni malalamiko angeyapeleka TFF na sio mitandaoni.

Shafii angetakiwa ajiuzulu ujumbe wa mkutano mkuu wa TFF ili awe na uhuru wa kuiponda, alichokuwa anafanya Shafii ni undumilakuwili na unafiki.

Huwezi kuwa board member wa kampuni alafu uko bize kuiponda kwenye mitandao lazima watakuondoa tu watu Shafii ajifunze ethics za kazi.

Shafii ni mjumbe inamaana yeye pia ni sehemu ya TFF kutwa Yuko bize kuiponda TFF huo ni uzindaki na unafki
Elimu ndogo hyo aliyonayo low mind Sana hyu kjn
 
Achana Naye Ameshalambishwa Sakafu Sasa Hivi
 
Back
Top Bottom