Shaffih Dauda, Prisca Kishamba na Yahya Njenge muombeni Edgar Kibwana 'awakopeshe' akili zake kubwa

Genta kuna wachambuzi flani hivi wa radio moja si kubwa saanaaa, nahisi iko Zenj, inaitwa Bomba FM aisee kuna kichwa kiko pale kimenitoka jina anajua sana yule mwamba na pacha wake.

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Kivipi GSM anaharibu soka la Tanzania?
Anahonga sana Timu Pinzani, Wachezaji na Marefa ( Waamuzi ) wa Ligi Kuu ya NBC.

Na GSM anapata hiki Kiburi chote kwakuwa wana Ubia wa Kibiashara na Kiongozi Mmoja Mkuu Mstaafu mwenye Ushawishi mkubwa katika Serikali hii ya sasa ya Rais Samia.

Niendelee zaidi au kwa leo niishie hapa?
 
Sikumbuki ni lini umewahi Kumiliki Akili.
 
Genta kuna wachambuzi flani hivi wa radio moja si kubwa saanaaa, nahisi iko Zenj, inaitwa Bomba FM aisee kuna kichwa kiko pale kimenitoka jina anajua sana yule mwamba na pacha wake.

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Sijui na Siwajui. Mimi naishi Dar es Salaam utaniulizaje ya huko ( kule ) Visiwani Zanzibar iliko hiyo Redio yako tajwa hapa?
 
Ushindi wa tgo pesa

Ova
 
Ww amekuhonga nin huyo gsm Hadi ukamzalia mapacha
Mbumbumbu ww
 
MIHOGO FC
 
Acha unafiki pia broo shafi Yuko sahih Edgar ndio mnafiki
 
Shafihi akiwa na njaa hakuna mchambuzi Tanzania yuko salama kama mtu anayeweza kwenda ulaya zaidi ya mara nne kwa mwezi anayo njaa sijajua itakuwaje Kwa wachambuzi wa kawaida
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na wewe ebu punguza posts zako hapa. Unashinda na kukesha hapa. Kaaaaah
 
Na wewe ebu punguza posts zako hapa. Unashinda na kukesha hapa. Kaaaaah
Pumbavu nakula Kwako au unanipa Hela au unaninunulia Bando la kuwa hapa 24/7? Mbona nawe huwa 'Unakandwa' Saa zote hushangai / hujishangai?
 
Tangu GSM awe na yanga haina shaka kuwa simba mara nyingi hajapata matokeo mazuri inamaana nao wanahongwa na huyo GSM?
 
Matraaako wa simba aka mbumbumbu mnahangaika sana na Yanga kipi kinakuwasheni huko nindukumi? Lini mmeanza kuionea huruma Yanga taasisi kubwa na mashabiki zake? Siku zote kuanguka kuteteleka na kudhalilishwa Yanga si ndio furaha yenu wewe ndo mnafiki namba moja humu jukwaani na hata kwenye maisha yako ya kawaida. 1 idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…