Shaffih Dauda: Saido hawezi kuwa Mchezaji Bora

Shafii Dauda ameamua KUJIAIBISHA!!! Anachokisema hakijawahi kufanyika popote duniani!! Angalia mkeka wa top scorers kwenye epl mahali ambapo wachezaji wamefungana magoli ni nani alitajwa kwanza na kwa kigezo kipi?

Mkeka wa wafungaji bora EPL wa kwanza ni Halaand magoli 36, wa pili ni Harry Kane magoli 30, ........................................................wa saba ni Martin (arsenal) magoli 15 na assist 7, wa nane ni Ollie (Aston Villa) magoli 15 na assist 6, wa tisa ni Gabriel (Arsenal) magoli 15 na assist 5, wa kumi ni Saka (arsenal) magoli 14 na assist 11, wa kumi na moja ni Aleksandar (Fulham) magoli 14 na assist 1, wa kumi na mbili ni Lodrigo (Leeds) magoli 13 na assist 1 michezo 31, wa kumi na tatu ni Harvey (Leicester city) magoli 13, assist 1, michezo 34.

Angalia nafasi ya saba, nane, na tisa wote wana magoli 15, lakini wamezidiana assist. Ila bongo watu hawashindwi kujitoa ufahamu kwa kitu kilicho wazi!!
Anatafutwa top scorer mkuu
 
Sisi bado sanaaa mkuu na bado naamin Africa is dark continet
 
Huyo Shaffih amezunguka zunguka tu hajielewi, kama ameamua Mayele ndie awe mchezaji bora, basi aseme ni kwasababu timu yake imechukua ubingwa, na sio alete habari za magoli hapo, hakuna magoli yasiyo na umuhimu.
 
Unamkana Kolo mwenzio? Kuna mtu wa mpira asiyejuwa kwamba Shafi Dauda ni Simba?

Kumbe humu mazezeta wengi ndio maana mnatusumbuwa, hao watu unaowaona kwenye TV na kuwasoma kwenye media wenzako tunspiga nao sofa kwenye vijiwe vyetu, tunajuwana vizuri.
 
Watu wanakazimisha mayele awe mfungaji bora jambo ambalo amelishindwa
 
Attachments

  • FB_IMG_1685865513846.jpg
    FB_IMG_1685865513846.jpg
    84.1 KB · Views: 3
Huyo Shaffih amezunguka zunguka tu hajielewi, kama ameamua Mayele ndie awe mchezaji bora, basi aseme ni kwasababu timu yake imechukua ubingwa, na sio alete habari za magoli hapo, hakuna magoli yasiyo na umuhimu.
Sasa kama magoli ya Dube ya jana yana faida gani?
 
Shafii Dauda ameamua KUJIAIBISHA!!! Anachokisema hakijawahi kufanyika popote duniani!! Angalia mkeka wa top scorers kwenye epl mahali ambapo wachezaji wamefungana magoli ni nani alitajwa kwanza na kwa kigezo kipi?

Mkeka wa wafungaji bora EPL wa kwanza ni Halaand magoli 36, wa pili ni Harry Kane magoli 30, ........................................................wa saba ni Martin (arsenal) magoli 15 na assist 7, wa nane ni Ollie (Aston Villa) magoli 15 na assist 6, wa tisa ni Gabriel (Arsenal) magoli 15 na assist 5, wa kumi ni Saka (arsenal) magoli 14 na assist 11, wa kumi na moja ni Aleksandar (Fulham) magoli 14 na assist 1, wa kumi na mbili ni Lodrigo (Leeds) magoli 13 na assist 1 michezo 31, wa kumi na tatu ni Harvey (Leicester city) magoli 13, assist 1, michezo 34.

Angalia nafasi ya saba, nane, na tisa wote wana magoli 15, lakini wamezidiana assist. Ila bongo watu hawashindwi kujitoa ufahamu kwa kitu kilicho wazi!!
Shafii ameongelea uchezaji bora sio top scorer.
 
Mkeka wa NBCPL
Screenshot_20230610-093319_Instagram.jpg
 
Soka la tanzania haliamuliwi na kanuni, sheria wala vifungu bali huwa linaamuliwa na "BUSARA" tu. Au kidoogo raisi wa nchi anaweza ingilia
 
Unamkana Kolo mwenzio? Kuna mtu wa mpira asiyejuwa kwamba Shafi Dauda ni Simba?

Kumbe humu mazezeta wengi ndio maana mnatusumbuwa, hao watu unaowaona kwenye TV na kuwasoma kwenye media wenzako tunspiga nao sofa kwenye vijiwe vyetu, tunajuwana vizuri.
Kuwa simba hakumfanyi kujua kila kitu.
 
Back
Top Bottom