Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hujui kitu uwe unanyamaza au unauliza. Unaonekana mjinga kwa kupayuka vitu usivyovijua.Nasemajeee!
Napenda kukuambia ndugu Shaffih Dauda, uchawa umezidisha.. utaacha lini?
Alivyotoka Mbwana Samatta, kimbele mbele kikakuanza. Ukawa hukauki kwenda ubelgiji.
Akatoka bwana mdogo Kelvin John "Mbappe" na wewe kama kawaida yako hujiwezi!
Sasa hivi umeamia kwa Novatus Dismas Miroshi..
Bro kwahiyo Mtanzania akishatoboa soka la ulaya wewe ndo uanze kujifanya unasapoti? Kabla hawajatoboa ulikua wapi?
Sasa hivi Mbwana yuko PAOK kwa kuwa anaelekea ukingoni ndo unajifanya umemkataa!
Najua upo humu Jf japo unamtumia kijana wako kupitia ID fake.
Sisi tunaku-zoom tu, hayo sio maisha!
View attachment 2756081