Shaffih Dauda umezidi uchawa

Sio kwamba ni Agent na yeye hapo yupo Kazini ?

Kwahio Uchawa hapana atleast kama una ushahidi anakula pesa zao bila kufanya kazi husika basi muite Kupe ila sio Chawa....
 
Kama hujui kitu uwe unanyamaza au unauliza. Unaonekana mjinga kwa kupayuka vitu usivyovijua.
 
Dauda alimtafutia timu nova ulaya,bt nova alikua hajakomaa na hayupo fit,so dauda akafanya mpango dogo aende biashara utd ili akacheze,japo timu nyingi kubwa bongo zilimtaka,kakipiga biashara dogo akawa mchezaji bora chipukizi,.huyo unae muita chawa kalipa nauli,visa dogo kaenda israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…