Shaffih Dauda vs C.E.O Babra, simba tukatae huu upuuzi

Kama wanamtaka aende kimyakimya sio kutuletea kelele. Aliondoka okwi kwa style hiyo lakini alikua smart kimyakimya. Sasa why he is making mess with everyone? Yaani huyo wamwache aende hajazaliwa peke yake. Simba ni kubwa kuliko yeye. Yes we agree he is good but he is not the only fish in the industry. Ofa ashapewa hataki asepe tu.
 
Siku ile ulishangilia goli la shabalala mpaka basi, ila kwenye kutimiza haja sake unajitoa ufahamu. Be fair my friend, you should fight for fairness treatment for players ambao hawapati kile wanachoatahili kupata
Kwa hiyo wanaofunga kila siku ndo wafanyeje kwa mfano. Every one is expendable.
 
Waingereza wametoka kuwaonyesha majuzi tu walipoizima European Super League.

"It's all about the fans!"

Tshabalala imetokea tu, lakini tangu mwanzo alishadharauliwa. Hata Yanga pia ilimdharau sana Tshabalala. Ila jitihada zake ndiyo zilizomfanya awe alipo leo bila kutegemewa. Mbongo kawaweka benchi wageni na kuwafanya wengine waondoke kabisa, mpeni heshima zake na mpiganieni ili watoto wadogo huku uswazi wajue jitihada zinalipa.

Anything else is bulls***
 
Ni vizuri wachezaji kupewa thamani, lakini thamani hiyo iendane na uhalisia wa vyanzo vya mapato vya timu na thamani ya ligi.
Tunaposajili wageni huwa tunaamini wataleta kitu cha ziada kufail kwa baadhi yao kusi
wahukumu kina chama wanaofaulu.
Ni wageni wachache ndio wanaolipwa tofauti na viwango vyao hao waondolewe.
Ila huwezi ukamlipa mgeni kiduchu, mtu ambaye hata kucheza nchini analipia.
 
Siku ile ulishangilia goli la shabalala mpaka basi, ila kwenye kutimiza haja sake unajitoa ufahamu. Be fair my friend, you should fight for fairness treatment for players ambao hawapati kile wanachoatahili kupata
Naamini viongozi watampa hela iliyopo kwenye budget na anayostahili.
 
Sawa lakini akitokea dogo wa uswazi akamweka benchi Miquesone kwa muda mrefu tu, atastahili kulipwa zaidi au at least kama yeye?
Usidhani hilo haliwezi kutokea bro.
 
Nitaungana na ww endapo tu utanithibitishia kwamba ceo wa uyu wa simba ndio wa kwanza kufanya ili jambo yan kukaa ad mkataba unabakiza miez miwil,na kingine shaffih ni kama vile ana chuk binafs na ceo kwa sababu kumwambia anaitisha sana press je izo press zilikua zinahusu nn maisha yake au kuhusu simba kama kuhusu simba atuambie ip ilikua press isiyo na maana kwa simba,apo apo shaffih anamshambulia ceo kwa ili jambo lkn anasahau kwamba kupitia uyo uyo maneja anakir simba walimtuma mtu kipind mkataba upo ndan ya miez sita lkn anasema aliongea mambo ya kizaman ila hakusema mambo gan kiufup ni kwamba simba walishaongea mapema kuhusu huo mkataba kilichokuwepo ni kushindwa kuafikiana na bado uyo uyo meneja anaendelea kusema wao walishapanga mkataba ukiisha hawataongeza ,so labda kwa maslai au maamuz ,pia shaffih anazd kumlaum ceo hasomi email je apo shaffih amejuaje ilo jambo ina maana shaffih anachunguza email za babra au za simba na kama kwel ilo jambo yeye kama mwandish ameshamfuata babra kujua ukwel wa ilo suhala ili abalance habar
 
Siku ile ulishangilia goli la shabalala mpaka basi, ila kwenye kutimiza haja sake unajitoa ufahamu. Be fair my friend, you should fight for fairness treatment for players ambao hawapati kile wanachoatahili kupata
Alitimiza wajibu wake. Kama simba hapalipi anaruhusiwa kuenda team itakayomlipa vizuri.mbona ni jambo dogo sana.
 
Analipiwa leseni vipi vibali vingine, kodi?
Zote analipiwa ... Yaani agent akitaka mshahara fulani, ujue kashapiga hizo hesabu.
Milioni 1.5 siyo sawa na milioni 23. Yaani milioni 21.5 ni kodi?
 
Shaffidaud nani hajui ni kilaza kama vilaza wengine sema tu wanamstiri clouds kwenye ujira wake.

Toka anyimwe kandarasi ya kuuza jessy za utopolo ndo akili imeisha anajitahidi aiponde mabingwa wa nchi ili wamrudiahie tenda Yake ila wapi.

Hawa ni wachambuzi uchwara na yule wa usafini
 
Zote analipiwa ... Yaani agent akitaka mshahara fulani, ujue kashapiga hizo hesabu.
Milioni 1.5 siyo sawa na milioni 23. Yaani milioni 21.5 ni kodi?
Hakuna anayelipwa 1.5 bahna huo ni uongo.
Vipi serikali haikati kodi kwenye mishahara?
Kama inakata ukataji ukoje?
 
Hakuna anayelipwa 1.5 bahna huo ni uongo.
Vipi serikali haikati kodi kwenye mishahara?
Kama inakata ukataji ukoje?
Ukataji unategemea na mambo mengi, kuna brackets nyingi za kodi ya mapato.
Siyo swali la kujibu kirahisi. Ila Tax regiment mawakala huzifuatilia pamoja na permits na wanapojadili mshahara huwa wanaweka hizo gharama kwenye equation.
Kwa kifupi, ni muajiri ndiyo anayelipa kodi na gharama nyingine. Siyo mfanyakazi.
 
Simba wamekosea sana inshu ya Tshabalala, kwanza kuacha hadi mkataba wake uingie ndani ya miezi 6 ya mwisho ni dharau, na hii ni kwa wachezaji wote wa ndani kwa hizi clubs zetu kubwa, Tshabalala anaenda kufungua ukarasa mpya kwa wazawa, kama ataondoka kitakachofuafa ni Manula na Kapombe kupewa mikataba mizuri na mirefu.

Mimi ni shabiki wa Simba, ila sifurahii kuona Manula, Tshabalala na Kapombe wanapata pesa ndogo sana ukilinganisha na wageni kama Chikwende na Kahata wakati wanatoa mchango mkubwa zaidi ya hao wageni.
 
CEO umepiga bull... kelele ni njia ya kihuni isiyo rasmi na hata Tshabalala ana forum nzuri tu ya kuzungumza na uongozi wakakubaliana au kutokubaliana. Mwisho wa siku image na brand ya mchezaji ni muhimu sana kwa kesho yake. Again, huu mkataba w Tshabalala sio wa kwanza na ya awali iliisha na kujadiliana namna ya kuuboresha na pande zote mbili ziliridhia na kusaini. Meneja anapotoka hadharani na kutaja anacholipwa mchezaji ni kidogo na anaenda mbali zaidi na kutaja majina ya watu na mifano ni ule mpira wetu wa kihuni pale Kinesi na Lucky Rangers! In fact wa kulaumiwa wa kwanza ni yeye...
 
Hakuna anayelipwa 1.5 bahna huo ni uongo.
Vipi serikali haikati kodi kwenye mishahara?
Kama inakata ukataji ukoje?
Tshabalala analipwa 3.5m as per mahojiano ya wakala wake, wakati huo huo Chikwende analipwa 12m na Kahata analipwa zaidi ya 10m, je hii ni sahihi ? Kuwa mzawa si dhambi, wachezaji walipwe vizuri kutokana na performance zao na sio nationality zao.
 
Aseeee kodi ya kwenye mshahara anakatwa muajiri?
Ndo naskia saiv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…