Shaffih Dauda vs C.E.O Babra, simba tukatae huu upuuzi

Shaffih Dauda vs C.E.O Babra, simba tukatae huu upuuzi

Aondoke alikuepo yondan vidic , okwi, kotei chuma ,n.k na viongoz wa simba wakimsaini shabalala watakua wajinga wakubwa na wamekubali zarau kutoka kwa meneja ropo ropo mzozo

Kama anahitaji mchezaji wake apewe maslai mazur ndio alopoke mtaani huku waweke dau lao mezani na viongoz watafakari tunataka m 100 je mnatupa ? Salary m 10 IPO? Aipo mchezaji wangu ana ondoka basi sio kuropoka nasema tena viongoz wa simba wakimsain watakua wamekubali kuzarauliwa wamwache shabalala akachukue izo million 23 za mshahara kwa mwez uko sauz na mi 100 ya usajili saaaafi kijana anenepe ila isiwe ka singano tu saiz sjui ni muokota mipira uko zambia kwa hisani ya uzwazwa wa shafiii dauda
 
Nyie watu mmerogwa, au?!

Ndo matatizo ya kutumia pesa ya urithi haya... Dauda anawaamsha, nyie mnamuona mbaya!!! Hivi katika hali ya kawaida unaachaje Shabalala hadi anabakisha miezi miwili mkataba kwisha?!

Lau kama wange-extend mkataba 8 months ago, huenda wangetumia dau dogo kuliko sasa, kwa sababu sasa watalazimika ku-extend mkataba kwa pressure ya "wasije wakatuzidi kete"!

Katika hali ya kawaida, sioni timu ambayo ingejaribu kutaka kumsajiri mchezaji muhimu kwa club kama Shabalala, na kwahiyo Simba asingekuwa na competition yoyote kutoka nje!

Lakini habari hii, itafanya club zingine ziseme "kumbe kuna fursa"!

Najua mna kiburi cha kwamba eti mna pesa huku mkisahau 20 Billion hazijaingia kwenye akaunti, na pesa za sasa ni za "kuombaomba tu" kama wafanyavyo Yanga!
 
Attachments

  • Yanga wanalia.mp4
    6.3 MB
Tupate wadhamini kidogo
Screenshot_20210428-170828.jpg
 
Mchezaji ahame SIMBA AENDE WAPIII?
Aondoke alikuepo yondan vidic , okwi, kotei chuma ,n.k na viongoz wa simba wakimsaini shabalala watakua wajinga wakubwa na wamekubali zarau kutoka kwa meneja ropo ropo mzozo

Kama anahitaji mchezaji wake apewe maslai mazur ndio alopoke mtaani huku waweke dau lao mezani na viongoz watafakari tunataka m 100 je mnatupa ? Salary m 10 IPO? Aipo mchezaji wangu ana ondoka basi sio kuropoka nasema tena viongoz wa simba wakimsain watakua wamekubali kuzarauliwa wamwache shabalala akachukue izo million 23 za mshahara kwa mwez uko sauz na mi 100 ya usajili saaaafi kijana anenepe ila isiwe ka singano tu saiz sjui ni muokota mipira uko zambia kwa hisani ya uzwazwa wa shafiii dauda
Screenshot_20210428-170828.jpg
 
Mtoa uzi ni utopolo! Sasa mtendaji akionekana kwenye vyombo vya habari na kazi inaonekana kuna tatizo gani? Utopolo mnateseka sana!! Njaa tu na wivu unawasumbua!
 
Hivi katika hali ya kawaida unaachaje Shabalala hadi anabakisha miezi miwili mkataba kwisha?!
Yeye Tshabalala ndio anatakiwa ajiulize inakuaje hadi inabaki miezi miwili hajaitwa kusaini kandarasi mpya? Simba ya sasa kwa ukubwa wake sio ya kumfuata mchezaji, bali mchezaji ndio anatakiwa ahangaike kusajiliwa Simba
 
MbonaTshabalalanaona picha zimezagaa mitandaoni amesaini simba pamoja na Bocco?
 
Niligundua uyu CEO ni mbumbumbu wa soka pale wadau wanapo hoji baadhi ya wachezaji wanaelekea kumaliza mikataba lakini siku zinakwenda na hawa wapi mikataba mipya.
CEO anadai Kwasasa Simba vipaumbele vyao ni michuano ya Ligi ya mabingwa. Nikagundua uyu CEO yupo pale kulinda maslahi ya Bwanyenye MO.
hajui kabisa dunia ya mpira inakwendaje maana kwa kauli Kama Ile ingekua ulaya ingewashangaza wadau wa soka na ungekua mjadala mkubwa.
 
Ni vizuri wachezaji kupewa thamani, lakini thamani hiyo iendane na uhalisia wa vyanzo vya mapato vya timu na thamani ya ligi.
Tunaposajili wageni huwa tunaamini wataleta kitu cha ziada kufail kwa baadhi yao kusi
wahukumu kina chama wanaofaulu.
Ni wageni wachache ndio wanaolipwa tofauti na viwango vyao hao waondolewe.
Ila huwezi ukamlipa mgeni kiduchu, mtu ambaye hata kucheza nchini analipia.
Mantiki yako ni kuwa tunalipa kwa 'ugeni' na sio kwa 'kazi ya mtu uwanjani'? Kuna shida sehemu, tunawachukulia pia sana wachezaji wetu wandani. Mpira ni kazi kwa mchezaji, utamu wa kazi ni kulipwa kulingana na makubaliano (mkataba). Kwa mtazamo wangu mchezaji hapaswi kuwa na mapenzi na timu sana kuliko kazi; awe mapenzi na kazi kisha timu.
Kama jamaa anaona huduma yake ni kubwa kwenye timu na inastahili kulipiwa vikubwa, meza iwekwe vinginevyo aruhusiwe kwenda kwenye marisho mengine alikoona huduma yake itagharamiwa inavyopaswa!
 
Huyu wakala wa Tshabalala atakua team utopolo yaani kasubiri derby ndo kalianzisha, ila najiulizaga mbona waandishi wa michezo bongo huwaga wepesi sana kukandia na kuilaani ssc?!

Huyo wakala mbona anaongea beyond?! Kama wako kwenye negotiations kwa nn aje aprovoke huku mtaani? Hiyo ndo football professionalism?! Yaani hadi natamani achukuliwe na uto kwa dau kubwa la kwenye makaratasi halafu kulipwa mpaka aende cas hapo ndo atapata elimu dunia. Bosi hanuniwi.
Kaka hiyo ndiyo stahili ya kuendesha soka la Bongo bila kelele mambo hayaendi...na Mwalimu na mwanzilishi wa hii kitu ni MO mwenyewe alimuondoa Mwenyekiti wa wanachama kwa Tweeter na sasa anataka kuwagaragaraza FCC kwa Tweeter aichukue Club asubuhi na mapema. Haki ya Mungu bila kelele hizi za mitandao hawa wachezaji (Boko na Shabalala) wasingesaini mikataba nafuu leo
 
Tshabalala analipwa 3.5m as per mahojiano ya wakala wake, wakati huo huo Chikwende analipwa 12m na Kahata analipwa zaidi ya 10m, je hii ni sahihi ? Kuwa mzawa si dhambi, wachezaji walipwe vizuri kutokana na performance zao na sio nationality zao.
Tatizo ni meneja wake yeye si ndio alisimamia mkataba
 
Niligundua uyu CEO ni mbumbumbu wa soka pale wadau wanapo hoji baadhi ya wachezaji wanaelekea kumaliza mikataba lakini siku zinakwenda na hawa wapi mikataba mipya.
CEO anadai Kwasasa Simba vipaumbele vyao ni michuano ya Ligi ya mabingwa. Nikagundua uyu CEO yupo pale kulinda maslahi ya Bwanyenye MO.
hajui kabisa dunia ya mpira inakwendaje maana kwa kauli Kama Ile ingekua ulaya ingewashangaza wadau wa soka na ungekua mjadala mkubwa.
Sasa mo si ndio anatoa pesa au kuna mwngne kwann asilinde maslai ya Mo au ulitaka iwe kama kwa gsm wanapigwa na wapigaji wanaletewa wachezaji hewa
 
Yeye Tshabalala ndio anatakiwa ajiulize inakuaje hadi inabaki miezi miwili hajaitwa kusaini kandarasi mpya? Simba ya sasa kwa ukubwa wake sio ya kumfuata mchezaji, bali mchezaji ndio anatakiwa ahangaike kusajiliwa Simba
Unaongea as if umeanza kufuatilia soka wakati wa Shujaa JPM!!

Hizo club kubwa tu zinahakikisha zina-extend mikataba ya key players mapema iwezekanavyo, seuze Simba!! Yaani kuingia Robo Fainali mara mbili tu, ndo mmeshajiona Al Ahly?!

Mnataka kuuza karibu 50% ya klabu yenu for less than USD 10 Million wakati Pyramid FC walitumia pesa zaidi ya hiyo kusajiri mchezaji mmoja tu!!

Nyie watu Manara anawajaza ujinga sana!!
 
Sasa hapo mkuu ni wapi shaffih kamuattack Babra kwa maelezo yake anazungumzia mtu mwenye nafasi ya CEO ndani ya simba kushindwa kutimiza majukumu yake kwa wakati na ni ushauri mzurii hata sisi wanasimba kwa tulipofikia hatufurahii kuhangaika na wachezaji wetu tena tegemeo wakiwa wamebakisha miezi miwili mkataba uishe hizi ni presha za kujitakia ili baadae tumlaumu mchezaji hana mapenzi na timu wakati sote tunajua hawa vijana mpira ndio kazi yao ni zaidi ya mapenzi na ushabiki.
Kashindwaje kwa mfano? Nimeona Dauda ana pre empty Barbra
 
Back
Top Bottom