mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,910
- 5,084
Kama wanamtaka aende kimyakimya sio kutuletea kelele. Aliondoka okwi kwa style hiyo lakini alikua smart kimyakimya. Sasa why he is making mess with everyone? Yaani huyo wamwache aende hajazaliwa peke yake. Simba ni kubwa kuliko yeye. Yes we agree he is good but he is not the only fish in the industry. Ofa ashapewa hataki asepe tu.
Nyie watu mmerogwa, au?!
Ndo matatizo ya kutumia pesa ya urithi haya... Dauda anawaamsha, nyie mnamuona mbaya!!! Hivi katika hali ya kawaida unaachaje Shabalala hadi anabakisha miezi miwili mkataba kwisha?!
Lau kama wange-extend mkataba 8 months ago, huenda wangetumia dau dogo kuliko sasa, kwa sababu sasa watalazimika ku-extend mkataba kwa pressure ya "wasije wakatuzidi kete"!
Katika hali ya kawaida, sioni timu ambayo ingejaribu kutaka kumsajiri mchezaji muhimu kwa club kama Shabalala, na kwahiyo Simba asingekuwa na competition yoyote kutoka nje!
Lakini habari hii, itafanya club zingine ziseme "kumbe kuna fursa"!
Najua mna kiburi cha kwamba eti mna pesa huku mkisahau 20 Billion hazijaingia kwenye akaunti, na pesa za sasa ni za "kuombaomba tu" kama wafanyavyo Yanga!