Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Hiyo mishahara ya chikwende na Kahata kaisema nani?Tshabalala analipwa 3.5m as per mahojiano ya wakala wake, wakati huo huo Chikwende analipwa 12m na Kahata analipwa zaidi ya 10m, je hii ni sahihi ? Kuwa mzawa si dhambi, wachezaji walipwe vizuri kutokana na performance zao na sio nationality zao.
Meneja ametumia njia za kihuni sababu viongozi wa Simba pia wanafanya uhuni, hii transparency inawauma viongozi wa Simba sababu inaonyesha ujinga wao, mbona mikataba ya wachezaji nje ya nchi ikivuja hawalalamiki, Chikwende ilitamkwa hadharani analipwa 5000 USD hawakulalamika ni uhuni?CEO umepiga bull... kelele ni njia ya kihuni isiyo rasmi na hata Tshabalala ana forum nzuri tu ya kuzungumza na uongozi wakakubaliana au kutokubaliana. Mwisho wa siku image na brand ya mchezaji ni muhimu sana kwa kesho yake. Again, huu mkataba w Tshabalala sio wa kwanza na ya awali iliisha na kujadiliana namna ya kuuboresha na pande zote mbili ziliridhia na kusaini. Meneja anapotoka hadharani na kutaja anacholipwa mchezaji ni kidogo na anaenda mbali zaidi na kutaja majina ya watu na mifano ni ule mpira wetu wa kihuni pale Kinesi na Lucky Rangers! In fact wa kulaumiwa wa kwanza ni yeye...
Ila ni Kweli Mkuu, Ifike kipindi wachezaji wa zamani waheshimika, hapa halina Usimba wa Uyanga. Tuendelea kupiga kelele kuwatetea wachezaji wazawa kwa maslahi ya Taifa letu. Kama we ni mpenda soka kweli, tafakari..!Meneja ametumia njia za kihuni sababu viongozi wa Simba pia wanafanya uhuni, hii transparency inawauma viongozi wa Simba sababu inaonyesha ujinga wao, mbona mikataba ya wachezaji nje ya nchi ikivuja hawalalamiki, Chikwende ilitamkwa hadharani analipwa 5000 USD hawakulalamika ni uhuni?
Mkataba wa Chikwende aliutaji msemaji wa Platnum FC alipotoka, 5000 USD, je hili mbona hawakulalamika, BTW, kama tunataka kuondoa uhuni mikataba ya wachezaji inabidi iwe wazi, ijulikane wanapata kiasi gani ili kupandisha brand nzima kama wanalipwa vizuri kama wanadhulimiwa itashusha pia thamani ya team husika.Hiyo mishahara ya chikwende na Kahata kaisema nani?
Kwanini Meneja alisaini mkataba usio na maslahi? Hapo utaona Meneja wa Chikwende ni very proffessional na huyu wa Tshabalala very unprofessional...Mkataba wa Chikwende aliutaji msemaji wa Platnum FC alipotoka, 5000 USD, je hili mbona hawakulalamika, BTW, kama tunataka kuondoa uhuni mikataba ya wachezaji inabidi iwe wazi, ijulikane wanapata kiasi gani ili kupandisha brand nzima kama wanalipwa vizuri kama wanadhulimiwa itashusha pia thamani ya team husika.
Na hili ndilo muhimu, Tshabalala ndio hope kwa sasa, akifanikiwa kulipwa vizuri atakuwa amewafungulia milango wazawa wote Tz wa team zote kubwa haki yao pia ya kulipwa vizuri, ebu fikiria mtu kama Manula angekuwa expatriates angelipwa chini ya 15m kweli Simba kwa performance yake nzuri vile? Ila kwa kuwa ni local utakuta wanamdhulumu kwa kumpa 5m tu.Ila ni Kweli Mkuu, Ifike kipindi wachezaji wa zamani waheshimika, hapa halina Usimba wa Uyanga. Tuendelea kupiga kelele kuwatetea wachezaji wazawa kwa maslahi ya Taifa letu. Kama we ni mpenda soka kweli, tafakari..!
Mpira huu ni soko huru la ushindani...bidhaa yako haithaminiwi hapa unaenda soko inakothaminiwa, full stop! Samatta alifanyaje?Na hili ndilo muhimu, Tshabalala ndio hope kwa sasa, akifanikiwa kulipwa vizuri atakuwa amewafungulia milango wazawa wote Tz wa team zote kubwa haki yao pia ya kulipwa vizuri, ebu fikiria mtu kama Manula angekuwa expatriates angelipwa chini ya 15m kweli Simba kwa performance yake nzuri vile? Ila kwa kuwa ni local utakuta wanamdhulumu kwa kumpa 5m tu.
Inawezekana meneja wa Tshabalala hakuwa aggressive ila sasa anachofanya ni sahihi, tumpe support wazawa pia wapate thamani yao kutokana na ubora wao, haiwezekani Chikwende na Kahata wapate 12m huko halafu Tshabalala ale chini ya hao huku ana mchango mkubwa zaidi.Kwanini Meneja alisaini mkataba usio na maslahi? Hapo utaona Meneja wa Chikwende ni very proffessional na huyu wa Tshabalala very unprofessional...
Mzee acha unazi, hata mimi ni Simba, hofu ya Simba ni kama watamlipa Tshabalala vizuri basi wazawa wote kina Manula na Kapombe wataomba kulipwa vizuri, je hii si haki yao?Mpira huu ni soko huru la ushindani...bidhaa yako haithaminiwi hapa unaenda soko inakothaminiwa, full stop! Samatta alifanyaje?
Kina Machupa, Shekhan, na wengineo walishafungua milango. Kina Samatta waliendelea walipoishia kina Machupa, hawa kina Tshabalala milango na funguo wanazo... Ila watafute kwanza Mameneja proffessional sio hawa akina Mponda...Na hili ndilo muhimu, Tshabalala ndio hope kwa sasa, akifanikiwa kulipwa vizuri atakuwa amewafungulia milango wazawa wote Tz wa team zote kubwa haki yao pia ya kulipwa vizuri, ebu fikiria mtu kama Manula angekuwa expatriates angelipwa chini ya 15m kweli Simba kwa performance yake nzuri vile? Ila kwa kuwa ni local utakuta wanamdhulumu kwa kumpa 5m tu.
Uingereza leo ikae kujadili kuboresha mkataba wa Gomez Liverpool anafanya kazi kubwa na analipwa kidogo kuliko VVD...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Inawezekana meneja wa Tshabalala hakuwa aggressive ila sasa anachofanya ni sahihi, tumpe support wazawa pia wapate thamani yao kutokana na ubora wao, haiwezekani Chikwende na Kahata wapate 12m huko halafu Tshabalala ale chini ya hao huku ana mchango mkubwa zaidi.
Kwani mkataba wake ukoje mpaka useme hapati anachostahili kupata? Si ana wakala huyo, kwanini hapiganii maslahi yake katika kusaini mkataba? Acheze mpira utamtangaza na kumpa mkataba autakao period.Siku ile ulishangilia goli la shabalala mpaka basi, ila kwenye kutimiza haja sake unajitoa ufahamu. Be fair my friend, you should fight for fairness treatment for players ambao hawapati kile wanachoatahili kupata
Kuna vyanzo vya kueleweka kulipa hiyo mishara?Mzee acha unazi, hata mimi ni Simba, hofu ya Simba ni kama watamlipa Tshabalala vizuri basi wazawa wote kina Manula na Kapombe wataomba kulipwa vizuri, je hii si haki yao?
Vyanzo vya kuwalipa kina Chikwende na Kahata 12m vinatoka wapi?Kuna vyanzo vya kueleweka kulipa hiyo mishara?
Au zinatoka wapi?
Kwaio dauda ndio anaepima utendaji wa CEO wa Simbasc?!! Vitu vingine hao mnaowaita wachambuzi ni wapuuzi tu!!Sasa hapo mkuu ni wapi shaffih kamuattack Babra kwa maelezo yake anazungumzia mtu mwenye nafasi ya CEO ndani ya simba kushindwa kutimiza majukumu yake kwa wakati na ni ushauri mzurii hata sisi wanasimba kwa tulipofikia hatufurahii kuhangaika na wachezaji wetu tena tegemeo wakiwa wamebakisha miezi miwili mkataba uishe hizi ni presha za kujitakia ili baadae tumlaumu mchezaji hana mapenzi na timu wakati sote tunajua hawa vijana mpira ndio kazi yao ni zaidi ya mapenzi na ushabiki.
Ata kama lakin tutetee ayo maslai panapo stahil sio kisa mzawa tu bas kila ktu iwe anaonea tuangalie na sababu vinginevyo tutaarbu mpra maana timu zitacheza kwa makund kulingana na maslai wachezaj weng wazawa wa tz wanalipwa vzur kulingana na kiwango na aina ya mikabata ,mfano leo hii si rais kumchukua mchezaj kutoka stand united au gwambina alaf mkataba wa kwanza tu ukamlpa mil 20 au 18 lazma utaangalia kwanza kiwango mshahara wake utapanda kulingana na kiwango chake akiwa makin na akawa na kiwango anaweza kuwapita ata hao wagen maana sio wagen wote wanalipwa nyng kuliko wazawa,apo apo ni rais sana kumtoa mchezaj gor maia au nkana ambae si mtanzania na ukampa mkataba wa kwanza kwa mshahara wa zaid ya milion 10 kwa ssbabu hawa wagen weng mpaka wanakuja kwetu sana sana kwa hiz timu za simba yanga labda na azam weng sio vijana wa miaka chin ya miaka 20 weng wanakua wamecheza timu zao kubwa kubwa kwao au nje wameshapitia ktk izo mwadui za kwao ,na pia hawa wanakuja pia sio tu wachezaj hawa pia ni wagen kama vile wawekezaj sasa unamtoa mchezaj as vital ambae anacheza kwa kiwango cha kurizisha alaf umwambie mshahara milion 2 iv atakuona upo silias kwel maana kuna ving kama ukiwa mgen ktk nch au sehem fulan kuna vitu vingne lazima ela iusike kuliko mzawa au mwenyejIla ni Kweli Mkuu, Ifike kipindi wachezaji wa zamani waheshimika, hapa halina Usimba wa Uyanga. Tuendelea kupiga kelele kuwatetea wachezaji wazawa kwa maslahi ya Taifa letu. Kama we ni mpenda soka kweli, tafakari..!
Hao wachezaji wazawa kama wako vzuri situngewaona wanagombaniwa na timu kama TP mazembe, mamelod n.k Hv unajua kama isingekuwa ni sheria za TFF lazma timu iwe na wachezaji wa kigeni kadhaa, simba ingesajili wachezaji wote kutoka nje ya nchi?Kwasehemu jamaa yuko sahihi, wachezaji mhimu wazawa hawapewi kipaumbele. Hata mimi hii kitu ilinkera kwa sehemu. Shabalala angekuwa mgeni, mngeona jinsi wangemtetemekea.
We linganisha mchango wa shabalala vs Morrison, automatically wa shabalala uko juu kweli. Contributions vs maslahi anayopata hayana correlation kabisa.