IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Nyie watu mmerogwa, au?!
Ndo matatizo ya kutumia pesa ya urithi haya... Dauda anawaamsha, nyie mnamuona mbaya!!! Hivi katika hali ya kawaida unaachaje Shabalala hadi anabakisha miezi miwili mkataba kwisha?!
Lau kama wange-extend mkataba 8 months ago, huenda wangetumia dau dogo kuliko sasa, kwa sababu sasa watalazimika ku-extend mkataba kwa pressure ya "wasije wakatuzidi kete"!
Katika hali ya kawaida, sioni timu ambayo ingejaribu kutaka kumsajiri mchezaji muhimu kwa club kama Shabalala, na kwahiyo Simba asingekuwa na competition yoyote kutoka nje!
Lakini habari hii, itafanya club zingine ziseme "kumbe kuna fursa"!
Najua mna kiburi cha kwamba eti mna pesa huku mkisahau 20 Billion hazijaingia kwenye akaunti, na pesa za sasa ni za "kuombaomba tu" kama wafanyavyo Yanga!
Aondoke alikuepo yondan vidic , okwi, kotei chuma ,n.k na viongoz wa simba wakimsaini shabalala watakua wajinga wakubwa na wamekubali zarau kutoka kwa meneja ropo ropo mzozo
Kama anahitaji mchezaji wake apewe maslai mazur ndio alopoke mtaani huku waweke dau lao mezani na viongoz watafakari tunataka m 100 je mnatupa ? Salary m 10 IPO? Aipo mchezaji wangu ana ondoka basi sio kuropoka nasema tena viongoz wa simba wakimsain watakua wamekubali kuzarauliwa wamwache shabalala akachukue izo million 23 za mshahara kwa mwez uko sauz na mi 100 ya usajili saaaafi kijana anenepe ila isiwe ka singano tu saiz sjui ni muokota mipira uko zambia kwa hisani ya uzwazwa wa shafiii dauda
Yule mzozo ropo sana angeenda tuMchezaji ahame SIMBA AENDE WAPIII?View attachment 1766621
Yule mzozo ropo sana angeenda tu
Yeye Tshabalala ndio anatakiwa ajiulize inakuaje hadi inabaki miezi miwili hajaitwa kusaini kandarasi mpya? Simba ya sasa kwa ukubwa wake sio ya kumfuata mchezaji, bali mchezaji ndio anatakiwa ahangaike kusajiliwa SimbaHivi katika hali ya kawaida unaachaje Shabalala hadi anabakisha miezi miwili mkataba kwisha?!
Mantiki yako ni kuwa tunalipa kwa 'ugeni' na sio kwa 'kazi ya mtu uwanjani'? Kuna shida sehemu, tunawachukulia pia sana wachezaji wetu wandani. Mpira ni kazi kwa mchezaji, utamu wa kazi ni kulipwa kulingana na makubaliano (mkataba). Kwa mtazamo wangu mchezaji hapaswi kuwa na mapenzi na timu sana kuliko kazi; awe mapenzi na kazi kisha timu.Ni vizuri wachezaji kupewa thamani, lakini thamani hiyo iendane na uhalisia wa vyanzo vya mapato vya timu na thamani ya ligi.
Tunaposajili wageni huwa tunaamini wataleta kitu cha ziada kufail kwa baadhi yao kusi
wahukumu kina chama wanaofaulu.
Ni wageni wachache ndio wanaolipwa tofauti na viwango vyao hao waondolewe.
Ila huwezi ukamlipa mgeni kiduchu, mtu ambaye hata kucheza nchini analipia.
Kaka hiyo ndiyo stahili ya kuendesha soka la Bongo bila kelele mambo hayaendi...na Mwalimu na mwanzilishi wa hii kitu ni MO mwenyewe alimuondoa Mwenyekiti wa wanachama kwa Tweeter na sasa anataka kuwagaragaraza FCC kwa Tweeter aichukue Club asubuhi na mapema. Haki ya Mungu bila kelele hizi za mitandao hawa wachezaji (Boko na Shabalala) wasingesaini mikataba nafuu leoHuyu wakala wa Tshabalala atakua team utopolo yaani kasubiri derby ndo kalianzisha, ila najiulizaga mbona waandishi wa michezo bongo huwaga wepesi sana kukandia na kuilaani ssc?!
Huyo wakala mbona anaongea beyond?! Kama wako kwenye negotiations kwa nn aje aprovoke huku mtaani? Hiyo ndo football professionalism?! Yaani hadi natamani achukuliwe na uto kwa dau kubwa la kwenye makaratasi halafu kulipwa mpaka aende cas hapo ndo atapata elimu dunia. Bosi hanuniwi.
Washasinya tayari baada ya Mzozo kuleta mzozo.MbonaTshabalalanaona picha zimezagaa mitandaoni amesaini simba pamoja na Bocco?
Tatizo ni meneja wake yeye si ndio alisimamia mkatabaTshabalala analipwa 3.5m as per mahojiano ya wakala wake, wakati huo huo Chikwende analipwa 12m na Kahata analipwa zaidi ya 10m, je hii ni sahihi ? Kuwa mzawa si dhambi, wachezaji walipwe vizuri kutokana na performance zao na sio nationality zao.
Sasa mo si ndio anatoa pesa au kuna mwngne kwann asilinde maslai ya Mo au ulitaka iwe kama kwa gsm wanapigwa na wapigaji wanaletewa wachezaji hewaNiligundua uyu CEO ni mbumbumbu wa soka pale wadau wanapo hoji baadhi ya wachezaji wanaelekea kumaliza mikataba lakini siku zinakwenda na hawa wapi mikataba mipya.
CEO anadai Kwasasa Simba vipaumbele vyao ni michuano ya Ligi ya mabingwa. Nikagundua uyu CEO yupo pale kulinda maslahi ya Bwanyenye MO.
hajui kabisa dunia ya mpira inakwendaje maana kwa kauli Kama Ile ingekua ulaya ingewashangaza wadau wa soka na ungekua mjadala mkubwa.
Unaongea as if umeanza kufuatilia soka wakati wa Shujaa JPM!!Yeye Tshabalala ndio anatakiwa ajiulize inakuaje hadi inabaki miezi miwili hajaitwa kusaini kandarasi mpya? Simba ya sasa kwa ukubwa wake sio ya kumfuata mchezaji, bali mchezaji ndio anatakiwa ahangaike kusajiliwa Simba
Kashindwaje kwa mfano? Nimeona Dauda ana pre empty BarbraSasa hapo mkuu ni wapi shaffih kamuattack Babra kwa maelezo yake anazungumzia mtu mwenye nafasi ya CEO ndani ya simba kushindwa kutimiza majukumu yake kwa wakati na ni ushauri mzurii hata sisi wanasimba kwa tulipofikia hatufurahii kuhangaika na wachezaji wetu tena tegemeo wakiwa wamebakisha miezi miwili mkataba uishe hizi ni presha za kujitakia ili baadae tumlaumu mchezaji hana mapenzi na timu wakati sote tunajua hawa vijana mpira ndio kazi yao ni zaidi ya mapenzi na ushabiki.
kaona hadi pre contracts za zimbwe na kapombe kule yanga sc washapewa advance money kishika uchumba unatarajia tarehe 8 wasifungishe?Kashindwaje kwa mfano? Nimeona Dauda ana pre empty Barbra