Shaffih Dauda vs C.E.O Babra, simba tukatae huu upuuzi

Hizo club kubwa tu zinahakikisha zina-extend mikataba ya key players mapema iwezekanavyo, seuze Simba!!
Umesema 'key players', na upo sahihi kabisa. Ukiona hadi inabaki miezi miwili haujaitwa mezani na Simba kujadili extension ya mkataba, basi ujue wewe sio key player kwa Simba
 
Mbona baada ya habari kutoka nje hatimae walitoka mafichoni na kuwaongezea mikataba?Hebu tuache hizi porojo! Yaani seriously unaweza kutoka mbele na kuthubutu kusema Shabalala sio key player kwa Simba?!
 
Angekuwa key player wala wasingesubiri kupigiwa makelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…