Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Umesema 'key players', na upo sahihi kabisa. Ukiona hadi inabaki miezi miwili haujaitwa mezani na Simba kujadili extension ya mkataba, basi ujue wewe sio key player kwa SimbaHizo club kubwa tu zinahakikisha zina-extend mikataba ya key players mapema iwezekanavyo, seuze Simba!!