Shaffih Dauda Vs Haji Manara

Shaffih Dauda Vs Haji Manara

Haji ana weakness sehemu anapenda sana kusema wenziwe lakini akiguswa yeye shida...hapendi kukosolewa,hapendi challenge ipo siku atakutana na kichwa kibovu atamlipua tu kama anavyofanya yeye kwa wenziwe!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Akizidiwa analia..😂😂😂
 
Manara akiwa Simba,Shafii alikua anapambana naye ili kujitengea pande Yanga kuwa anaweza kumdhibiti Manara.

Sasa Manara yupo Yanga,nafasi ya Afisa habari Simba iko wazi,so Shafii anapamba kuipata kwakuonesha kuwa yeye ni kiboko ya Manara.

Rejea kwa Mwijaku,kapamba mpaka amepata uhamasishaji kisa tu,kaonesha ana uwezo wa kumdhibiti Manara.

So tatizo ni uafisa habari pale Simba,na mtu hatoipata bila kuonesha uwezo wa kumdhibiti ama kupambana na Manara.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila shafii dauda anamuweza manara,manara anajaa gesi mpk anamuandika kbx kwenye post zake shafii mm naona safii sana kwa shafii ampeleke hivyo hivyo msukule anaboa
 
Ila shafii dauda anamuweza manara,manara anajaa gesi mpk anamuandika kbx kwenye post zake shafii mm naona safii sana kwa shafii ampeleke hivyo hivyo msukule anaboa
Screenshot_20211123-112648_Chrome.jpg

kuna hili bomu hapa mpaka nimemuonea huruma
 
Haji Manara has won battle,so a game is over!!
 
Back
Top Bottom