Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Kapewa 1 tu anatema mate mji mzima...Msukule umeambiwa utafute TIN number [emoji2][emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akizidiwa analia..😂😂😂Haji ana weakness sehemu anapenda sana kusema wenziwe lakini akiguswa yeye shida...hapendi kukosolewa,hapendi challenge ipo siku atakutana na kichwa kibovu atamlipua tu kama anavyofanya yeye kwa wenziwe!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Manara akiwa Simba,Shafii alikua anapambana naye ili kujitengea pande Yanga kuwa anaweza kumdhibiti Manara.
Sasa Manara yupo Yanga,nafasi ya Afisa habari Simba iko wazi,so Shafii anapamba kuipata kwakuonesha kuwa yeye ni kiboko ya Manara.
Rejea kwa Mwijaku,kapamba mpaka amepata uhamasishaji kisa tu,kaonesha ana uwezo wa kumdhibiti Manara.
So tatizo ni uafisa habari pale Simba,na mtu hatoipata bila kuonesha uwezo wa kumdhibiti ama kupambana na Manara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshamba sana pamoja na kuzaliwa mjini.Sahihi kabisaa anapenda kujivictimize!
Ila shafii dauda anamuweza manara,manara anajaa gesi mpk anamuandika kbx kwenye post zake shafii mm naona safii sana kwa shafii ampeleke hivyo hivyo msukule anaboa
Huyo Shafi ndie anaevaa tracksuit na moka?Mshamba sana pamoja na kuzaliwa mjini.
Nini tatizo hapo?Huyo Shafi ndie anaevaa tracksuit na moka?