Shaffii dauda ajitoa kugombea taswa kwa kukosa vyeti.

Nendeni Congo mkachezeshwe ndombolo ya solo...tazama vizuri kipindi chao cha sports bar ..hata siku moja Shaffii hajawahi kuongoza kipindi..yeye ni mchambuzi tu...
 
Ameishia form 2 Kibasila. Kuanzia mwaka ujao hana kazi hapo Clouds. Kwani sheria ya kuwa na at least diploma ndio inaanza rasmi.
 
kanjanja ni kanjanja tu,yaaani mpaka anajitosha kugombea alikua hajua vigezo vinavyohitajika.(2014)
 
Msimponde hivyo bhana! Mbona ni mchambuzi mzuri tu.
 
Msimponde hivyo bhana! Mbona ni mchambuzi mzuri tu.
Kwenye uchambuzi aendelee tu kwani huko hakuna anayedai vyeti. Lakini sehemu zote alizogombea uongozi (sio uchambuzi), kamati za uchaguzi zilimchuja sababu ya vyeti. Aligombea TASWA, alishagombea nafasi ya Ujumbe wa TFF mara nyingi tu, lakini amekuwa akichujwa kabla ya hatua ya kupigiwa kura. Leta cheti baba, maneno mengi ya nini?
 
Opwi yuko wapi Leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…