GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Ukienda kufanya Interview yoyote ile katika Redio tena katika Kipindi ambacho ni cha muda mchache (kama cha Saa Moja) huwa kunakuwa na Briefing juu ya kile ambacho Mgeni anaenda Kukisema Hewani. Hiyo Sauti inayotumika na kudaiwa imevuja haikuwa ni Mazungumzo Official baina ya Mchezaji na Waliokuwa wakimhoji bali yalikuwa ni Mazungumzo tu ya Kawaida wakati Matangazo yanapigwa ili kuendelea na Session ya Pili ya Mahojiano”
“Tatizo ni kwamba kuna Watu wanataka kupata Umaarufu kupitia hiyo Clip kwa Viongozi na Matajiri wa Klabu lakini pia wanalazimisha Kubalansi kile ambacho Wanatuhumiwa nacho na Mchezaji ili Kuwaaminisha Mashabiki. Na kuonyesha kuwa hicho Kipande kinachosambazwa hakina tatizo Kiutangazaji hadi muda huu kipo katika YouTube yetu ya Kipindi husika pamoja na Mahojiano yote" Shafih Dauda Mchambuzi wa Soka na Mmoja wa Mabosi Waandamizi wa CMG.
Chanzo: Sports Extra Clouds FM Usiku huu.
Na Mimi GENTAMYCINE kwa kumalizia nachukua nafasi hii kuitakia kila la kheri Klabu yangu pendwa Barani Afrika ya USM Alger katika Mchezo wake wowote (wa Ligi yao au Michuano mingine) ambayo itacheza.