Shafih Dauda: Wanaovujisha sauti ya Interview ya Feitoto CMG na kutulaumu hawana Akili

GSM na Hersi watoke hadharani kukanusha tuhuma na madai ya Fei kwao, kwani ugumu uko wapiii???
Yani mimi ndio niwe GSM, alafu eti nijitokeze kujibu porojo za Fei? Like serious?

Eti Sheikh Mansoor ajitokeze kujibu tuhuma za KDB kabisa? Hivi mnazijua protocols kweli?
 
wamejua kujitetea,ila its too late to tell
 
Nimegundua watanzania mlio wengi hamna akili,hasa mashabiki wa yanga
Mimi Nina akili, hao mashabiki wa hio timu hapo nakubaliana na ww
NB:naitakia Kila lakheri timu yangu ya utotoni USM Algers,katika michezo yake
 
Yani mimi ndio niwe GSM, alafu eti nijitokeze kujibu porojo za Fei? Like serious?

Eti Sheikh Mansoor ajitokeze kujibu tuhuma za KDB kabisa? Hivi mnazijua protocols kweli?
Sasa km tuhuma ni binafsi na sio taasisi? Acha kukurupukaa wee.
 
Ni aibu Shafii nae bora angekaa kimya tu ,kwa hiyo breafing ndo Jamila anamwambia Fei alie
 
Sasa kama unamlisha majibu ina umuhimu gani wa kuja kuhojiwa? Unasema kipindi ni live huku ushamseti kwamba hili jibu hivi ili vile duuuu!!!!
Kwani wakili mahakamani hua ana kazi gani ikiwa mtuhumiwa uliefanya kosa upo na una uwezo wa kuongea?
 
EWE MWANANCHIIIII HAKIKA LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWAMBA YANGA NI KUBWA KIASI GANI NA TUNA UKUBWA KIASI GANI KATIKA SOKA.
NAJUA KUNA WATU HAWATA PENDA HISTORIA TUNAYOENDA KUIANDIKA LEO HII.


NIKUOMBE TU KAMA HUNA USTAHMILIVU NA TIMU YA YANGA USIANGALIE MECHI YA LEO.
MECHI HII NI KWA AJILI YA WABOBEZI WA SOKA.
πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…