njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Haki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez, ana maadui wa wazi wazi wa Simba wako ndani ndani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu.
Lile jitu linalokesha kusambaza habari za uongo za Simba kushoto na kulia liko Angola tayari na inavyoonekana hadi mipango ya ndani ya Simba linashirikishwa.
Kama tu Tabata lina kashfa ya kizembe ya fedha ndogo (milioni 20) za ubingwa wa Ndondo Cup, kina Ali Kiba wakakataa pendekezo lake, sembuse De Agosto walitumie kufanya hujuma kambini hapo?
CEO ana maadui wengi sana nje na ndani na hapo kwenye picha kuna rafiki yake mkubwa sana Shaffih, eti naye ni mjumbe wa bodi!
Matumaini yamepungua sana nilipoona hii picha, wachezaji embu kwa leo na kesho kaeni mbali na hili jamaa, hata mkono msilipe kabisa. Argh, inatia hasira sana.