Shafii Dauda adai aliiokoa Simba dhidi ya Yanga kuchukua wachezaji

Shafii Dauda adai aliiokoa Simba dhidi ya Yanga kuchukua wachezaji

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Maajabu yanaendelea baada ya kula mshiko wa zimbwe junior ikiwa malipo yake ya kuitukana simba na CEO barbra gonzalez shafii dauda anadai kwamba yeye anatakiwa ashukuriwe sababu kaiokoa simba KWANI KAPOMBE NA ZIMBWE WALISHASAINI PRE CONTRACT YANGA.

Walahi yaani watu wanadai wao wanapigania maslahi ya wachezaji sasa si yalishapatikana huko Yanga kisa cha kupigiana kelele na Simba ilikuwa nini? Hadi kufikia hatua ya kulalamikia lipstick ya Barbra?

Keshamaliza kwa Zimbwe anakuja kwa kapombe sasa,mtafute jemedari mlianzishe na kwa manula pia. Yaani vijana washapata maslahi makubwa yanga tena sehemu ambapo wazawa wanaheshimika mnalazimisha wabaki sehemu ambayo hata mo hawaiti kupiga nao picha?

DAUDAAAA.JPG
 
Kosa la shaffih ni lipi hapo au mtu ukiwa mnazi sharti akili uiache kwa sangoma
kosa ina maana hulioni? yaani hao watu wanadai kwamba maslahi ya wazawa ni madogo hawathaminiki hawakutaka jamaa wapate hayo maslahi huko yanga?

kwani kapombe na zimbwe wangeenda yanga maslahi yao yasingekuwa ya wazawa?

kwa nini hakutaka waende yanga halafu wapiguizane kelele na simba ? angewaacha wakale maisha huko jangwani
 
Mnafki mkubwa huyo
Nashangaa sana kumbe walishasaini pre contract tena yenye maslahi makubwa sasa kero zote za nini kupigiana makelele na simba hadi kulalamikia lipstick ya CEO na press conferences za simba.

Si bora wasaini huko yanga tu tena kama simba watarudia hili kosa kwa kapombe nitashngaa sababu kwa hii post ni wazi kwamba Shafih dauda anaingia tena kazini mkataba wa kapombe.

Tuliwaonya vurugu za zimbwe wakapuuza ila wajue herry mzozo na shafih dauda washafungua pandora box kwa sasa mikataba ya wabongo itakuw ani vita kwelikweli
 
Huyu kunakitu anakitafuta huyu,kwani akinyamaza kimya akatulia kunatatizo gani?
 
na wewe jamaa umezidi chuki sasa
sana tu san yaaaniii "wazalendo"wanadai wanapigania maslahi ya wachezaji wazawa simba hadi wanafikia ya kutukana lipsticks za mwanamama CEO lakini kumbe yanga walikuwa tayari kutoa dau kubwa kwa wachezaji ambao walisha sign pre contract huko tena ikaonekana jau.

wazuiwe ili warudi simba kupigiana kelele za maslahi si ujinga huo?kapombe aende tu yanga kachukue mamilioni yake hatutaki tena vurugu kama za zimbwe hata focus ya champions league draw ya keshokutwa na mechi ya utopolo tarehe 8 zinapotea sababu ya mambo ya kiduwanzi
 
keshavuta M pesa ya zimbwe leo subiri mziki wake sasa si umeona kamtaja kapombe?balaa linakuja tena barbra asipokuwa makini watampa stress hadi akome
Huo mchezo umesukwa vizuri sana, sio Dauda peke yake!! Wapo baadhi ya viongozi wa ndani ya bodi ya Simbasc na baadhi ya viongozi wa zamani wa Simbasc.

Mchezo huu ulisukwa vizuri na manguli wa michezo hio,kwanza alipangwa Manara Haji, ajifanye kuwa anawaomba mashabiki waanzishe kampeini ya kumuomba Zimbwejnr aongeze mkataba,

Hii ilikuwa ni kumpa presha CEO, ili aongeze dau, wakimuaminisha kuwa kuna watu wa Yanga wametoa pesa nyingi kwa kijana, hivyo atazame anaweza kuongeza kiasi gani kwa kijana ili aweze kupiku dau la Yanga ambalo kimsingi lilikuwa dau "hewa".

Kete nyingine ilikuwa ni kuwatumia waandishi wa habari hasa Dauda ili atoe taarifa feki, ambazo zingeleta taharuki kwa mashabiki, zikiwaaminisha kuwa CEO pamoja na MO hawajali wazawa, wanapendelea wageni, hii ingeweza kuleta mpasuko kwenye club!!ili kukata mzizi wa fitna ikabidi CEO awasiliane na MO na mwisho bwana mkubwa kuidhinisha mamilioni ya pesa ya usajili.

Ndio ukawa ushindi wa manguli wa michezo hio ya kitapeli,wakiongozwa na Said Tully na viongozi wengine wawili walioko kwenye bodi ya wakurugenzi wa Simbasc.

MO kajitaidi kubana mianya yote ila kuna wajanja wa town bado wanampiga pesa kupitia njia za kimafia.
 
Huo mchezo umesukwa vizuri sana,sio Dauda peke yake!!wapo baadhi ya viongozi wa ndani ya bodi ya Simbasc na baadhi ya viongozi wa zamani wa Simbasc
Mchezo huu ulisukwa vizuri na manguli wa michezo hio,kwanza alipangwa Manara Haji,ajifanye kuwa anawaomba mashabiki waanzishe kampeini ya kumuomba Zimbwejnr aongeze mkataba,
Hii ilikuwa ni kumpa presha CEO,ili aongeze dau, wakimuaminisha kuwa kuna watu wa Yanga wametoa pesa nyingi kwa kijana,hivyo atazame anaweza kuongeza kiasi gani kwa kijana ili aweze kupiku dau la Yanga ambalo kimsingi lilikuwa dau "hewa"
Kete nyingine ilikuwa ni kuwatumia waandishi wa habari hasa Dauda ili atoe taarifa feki, ambazo zingeleta taharuki kwa mashabiki, zikiwaaminisha kuwa CEO pamoja na MO hawajali wazawa,wanapendelea wageni,hii ingeweza kuleta mpasuko kwenye club!!ili kukata mzizi wa fitna ikabidi CEO awasiliane na MO na mwisho bwana mkubwa kuidhinisha mamilioni ya pesa ya usajili.
Ndio ukawa ushindi wa manguli wa michezo hio ya kitapeli,wakiongozwa na Said Tully na viongozi wengine wawili walioko kwenye bodi ya wakurugenzi wa Simbasc.
MO kajitaidi kubana mianya yote ila kuna wajanja wa town bado wanampiga pesa kupitia njia za kimafia.
sawa tu lakini wajue kwamba kwa vyovyote vile tarehe 8 may 2021 ikatokea kapombe au zimbwe wamefanya mistakes au kufungisha tutaunganisha maneno ya shafih dauda kwamba walishasaini pre contract yanga MOJA KWA MOJA ITAKUWA NI RUSHWA kazi kwao
Hilo ulilosema sikatai ila mbona mkataba wa boko umeenda bila zengwe,boko ,manula,kapombe ,gadiel si wote wako chini ya jemedari said kwa hiyo vurugu inahamiaa kwa kapombe tena,imetosha sasa wamrudishe hata juma abdul kutoka zambia akae hapo
Kuhusu hao wapiga deal sishangai mmoja wapo wa hao wapiga deal uliyemtaja si alishachukua hela za makusanyo ya getini million 8 toka uwanja wa uhuru akajifanya kaibiwa pale sinza issue ikayeyushwa juu jwa juu?
 
Atuoneshe picha wakisaini hiyo pre contact na Yanga sio maneno maneno tu
 
Atuoneshe picha wakisaini hiyo pre contact na Yanga sio maneno maneno tu
nawaonea huruma sana zimbwe na kapombe hiyo tarehe 8 wakifanya hata kosa la kimchezo lika cost team HII POST YA DAUDA itakuwa reference kubwa sana ya USALITI
wangekomaa tu kuchukua mamilioni ya GSM< siyo kubaki simba kupigizana makelele ya kingese hadi tunasahau kwamba keshokutwa kuna draw kule cairo
 
sawa tu lakini wajue kwamba kwa vyovyote vile tarehe 8 may 2021 ikatokea kapombe au zimbwe wamefanya mistakes au kufungisha tutaunganisha maneno ya shafih dauda kwamba walishasaini pre contract yanga MOJA KWA MOJA ITAKUWA NI RUSHWA kazi kwao
Hilo ulilosema sikatai ila mbona mkataba wa boko umeenda bila zengwe,boko ,manula,kapombe ,gadiel si wote wako chini ya jemedari said kwa hiyo vurugu inahamiaa kwa kapombe tena,imetosha sasa wamrudishe hata juma abdul kutoka zambia akae hapo
Kuhusu hao wapiga deal sishangai mmoja wapo wa hao wapiga deal uliyemtaja si alishachukua hela za makusanyo ya getini million 8 toka uwanja wa uhuru akajifanya kaibiwa pale sinza issue ikayeyushwa juu jwa juu?
Wachezaji wa kibongo wameshaingiwa na tabia ambazo sio sahihi ndio maana unaona hata wapate timu nje ni ngumu kwenda kucheza kwa mafanikio uko.
Wana watu wao wanaoshirikiana nao kwenye michezo michafu kuanzia kwenye kusajiliwa kwenye timu kubwa,kupangwa first eleven na mishahara,kuna wachezaji wanagawana mishahara na baadhi ya viongozi na madalali wao ambao wengi ni waandishi wa magazeti ya michezo na blog,wachezaji wachache wanaojielewa ambao hawana hio michezo ya kipumbavu.
 
sasa ulitarajia post kama ya Shaffih dauda atokee meneja au wachezaji mwenyewe kufafanua kama ni kweli au la walisaini pre contract yanga WATAKAUSHA ,SUBIRI TU ZIMBWE NA KAPOMBE WAFUNGISHE TAREHE 8 MAANA WASHAKULA ADVANCE PAYMENT YA GSM ITABIDI WAILIPIE
 
Huyu Dauda ni mtu hataru sana.Ni mtu anayeonekana kufaidika na migogoro ya Simba.Anatamani ari ya wachezaji iwe chini,ikibidi Simba iadhibiwe tarehe 8.
Kusema kweli naanza kuona jinsi Mo anavyopigwa vita na wapiga dili akina Dauda.
Upo uwezekano wa wachezaji anaowataja kuuza mechi tarehe 8 ili kum frustrate Mo.
Nimesikia huyu huyu Shaffi ni mmoja wapo wa watu wanaochochea mgogoro wa Simba na FCC.Hii ni roho zaidi ya uchawi.Walichochochea mgogoro Stand United sasa hivi hawajui hata timu inaelekea kushuka hadi daraja la tatu.Mimi ukiniambia uswahili,sio wa wale wazee bali ni wa hawa wasomi vilaza wanaodhani wao ni lazima wafaidike na mapato ya Simba kwa kuanzisha migogoro hasa wakati wa mechi muhimu
 
Back
Top Bottom