njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Maajabu yanaendelea baada ya kula mshiko wa zimbwe junior ikiwa malipo yake ya kuitukana simba na CEO barbra gonzalez shafii dauda anadai kwamba yeye anatakiwa ashukuriwe sababu kaiokoa simba KWANI KAPOMBE NA ZIMBWE WALISHASAINI PRE CONTRACT YANGA.
Walahi yaani watu wanadai wao wanapigania maslahi ya wachezaji sasa si yalishapatikana huko Yanga kisa cha kupigiana kelele na Simba ilikuwa nini? Hadi kufikia hatua ya kulalamikia lipstick ya Barbra?
Keshamaliza kwa Zimbwe anakuja kwa kapombe sasa,mtafute jemedari mlianzishe na kwa manula pia. Yaani vijana washapata maslahi makubwa yanga tena sehemu ambapo wazawa wanaheshimika mnalazimisha wabaki sehemu ambayo hata mo hawaiti kupiga nao picha?