njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Huyu jamaa kwa sasa sidhani hata kama kuna mtu anamchukulia serious kama mchambuzi, hata madogo kama Alli Kamwe, kina Ambangile na wale kina Tigana wa East Africa wanajua kuchambua kitaalamu na wanaeleweka hapo sijamuweka Ally Mayayi na Mwalimu Kashasha.
Shafii Dauda ni vulture na kwa sasa yuko kwenye mission ya kuichafua Simba kwa kushirikiana na mshikaji wake mhuni wa zamani wa Magomeni aitwaye Herry Mzozo.
Kama Menejimenti ya Simba itapiga magoti kwa yule Meneja muhuni basi tutarajie itakuwa imeseti mfano kwa wahuni wengine kuitukana klabu mitandaoni na kwenye media wakisema wanatetea wachezaji.
Keshasema kapigiwa simu na viongozi ila ataenda siku anayojisikia. JAMANI HIYO MIEZI MIWILI IISHE MUACHENI YEYE NA MCHEZAJI WAKE WAENDE HUKO YANGA AU SOUTH AFRICA WALIPOAHIDIWA MSHAHARA WA MILIONI 23.
Hata kina Manula na Meneja wake wanapiga short kwa kudai klabu za nje zinamtaka ila ni kwa ustaarabu siyo matusi kama ya huyo muhuni. Mkataba gani unalazimishwa hivi?
Tujikumbushe jinsi Dauda alivyoivuruga Simba kwa Ramadhani Singano kumpeleka Azam na leo maskini ya Mungu dogo kafeli hadi nkana team ambayo kwa sasa ni dhaifu inapigania kutosuka daraja huko Zambia, ukiingia Zambian soccer magazine wanashangaa ni kituko gani kile kutoka Tanzania kiko kwenye ligi yao.
KWAHERI ZIMBWE HUJAWAHI KUWA NA DHARAU TULIKUPENDA SANA ILA UNA MENEJA TAAHIRA SANA TENA MUHUNI WA KIZAMANI
NI BORA HATA WAKUPUMZISHE SASA MAANA IKITOKEA TAREHE 8 MECHI NA YANGA UKACHEZA HOVYO UJUE WEWE NDIYE NEXT HASSAN KESSY.
www.jamiiforums.com

Ugomvi wa Singano v Simba - kuna nini nyuma ya pazia?
Nimefuatilia kwa siku kadhaa sasa kuhusiana na sinema inayoendelea kati ya Ramadhani Singano 'Messi' na klabu yake Simba. Japo sijajua nani ni mkweli na nani mwongo, lkn ninapotafakari kinachoendelea naamini kuwa kuna kitu nyuma ya hili sakata maana kuna maswali mengi yasiyo na majibu Moja, Kwa...