Shafii Dauda alimvuruga Singano na sasa kahamia kwa Zimbwe, mwacheni aende Yanga

Shafii Dauda alimvuruga Singano na sasa kahamia kwa Zimbwe, mwacheni aende Yanga

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Huyu jamaa kwa sasa sidhani hata kama kuna mtu anamchukulia serious kama mchambuzi, hata madogo kama Alli Kamwe, kina Ambangile na wale kina Tigana wa East Africa wanajua kuchambua kitaalamu na wanaeleweka hapo sijamuweka Ally Mayayi na Mwalimu Kashasha.

Shafii Dauda ni vulture na kwa sasa yuko kwenye mission ya kuichafua Simba kwa kushirikiana na mshikaji wake mhuni wa zamani wa Magomeni aitwaye Herry Mzozo.

Kama Menejimenti ya Simba itapiga magoti kwa yule Meneja muhuni basi tutarajie itakuwa imeseti mfano kwa wahuni wengine kuitukana klabu mitandaoni na kwenye media wakisema wanatetea wachezaji.

Keshasema kapigiwa simu na viongozi ila ataenda siku anayojisikia. JAMANI HIYO MIEZI MIWILI IISHE MUACHENI YEYE NA MCHEZAJI WAKE WAENDE HUKO YANGA AU SOUTH AFRICA WALIPOAHIDIWA MSHAHARA WA MILIONI 23.

Hata kina Manula na Meneja wake wanapiga short kwa kudai klabu za nje zinamtaka ila ni kwa ustaarabu siyo matusi kama ya huyo muhuni. Mkataba gani unalazimishwa hivi?

Tujikumbushe jinsi Dauda alivyoivuruga Simba kwa Ramadhani Singano kumpeleka Azam na leo maskini ya Mungu dogo kafeli hadi nkana team ambayo kwa sasa ni dhaifu inapigania kutosuka daraja huko Zambia, ukiingia Zambian soccer magazine wanashangaa ni kituko gani kile kutoka Tanzania kiko kwenye ligi yao.

KWAHERI ZIMBWE HUJAWAHI KUWA NA DHARAU TULIKUPENDA SANA ILA UNA MENEJA TAAHIRA SANA TENA MUHUNI WA KIZAMANI
NI BORA HATA WAKUPUMZISHE SASA MAANA IKITOKEA TAREHE 8 MECHI NA YANGA UKACHEZA HOVYO UJUE WEWE NDIYE NEXT HASSAN KESSY.

 
Mzozo analeta uhuni wa mtaani anachoshindwa kufahamu ni ule mtandao wa Simba wa watu wenye uwezo wa kupata wachezaji wakubwa muda wowote ule.

Anachofanya ni sawa na wale kina Mendez na Raioula wanavyozifanyia timu za wachezaji wanaowasimamia.

Anataka apigiwe simu na Barbara. Shaffih ujanja ujanja mwingi wa kimjini.
 
Dah inasikitisha sana soka letu linapogeuzwa kijiwe cha bunge chenye kushamili chawa waitwao wanasiasa ndani ya soka.
 
Unasema mzozo ana uhuni wa kizaman.inaonekana pia una maslah na huko simba unapotetea. Wachezaji wazawa wote wakimaliza mpira wanakuwa maskin wakutupwa mtaani. Mpira umebadilika nkw days wazawa wapewe hela za kujikimu sio kupata comments nyingi mtandaoni alaf maisha yao yanasikitisha.
 
Unasema mzozo ana uhuni wa kizaman.inaonekana pia una maslah na huko simba unapotetea. Wachezaji wazawa wote wakimaliza mpira aanakuwa maskin wakutupwa mtaani.mpira umebadilika nkw days wazawa wapewe hela za kujikimu sio kupata comments nyingi mtandaoni alaf maisha yao yanasikitisha.
Mazee ndiyo tumesema aende kwenye maslahi ili asife maskini mbona suala liko wazi tu jamani kwani lazima utajiri apatie simba?
 
Unasema mzozo ana uhuni wa kizaman.inaonekana pia una maslah na huko simba unapotetea.wachezaji wazawa wote wakimaliza mpira aanakuwa maskin wakutupwa mtaani.mpira umebadilika nkw days wazawa wapewe hela za kujikimu sio kupata comments nyingi mtandaoni alaf maisha yao yanasikitisha
Malipo yanaendana na uwezo uwanjani. Simba anafanya vizuri kimataifa kwasasa kwasababu ya wachezaji wa nje wengi.
 
Malipo yanaendana na uwezo uwanjani. Simba anafanya vizuri kimataifa kwasasa kwasababu ya wachezaji wa nje wengi.
Hata zimbwe anastahili malipo mazuri kwa sasa analipwa milioni 4 kwa mwezi lakini ni malipo aliyosaini mkataba uliopita lakini kudai maslahi kwa style ya kumzodoa CEO kwamba anapenda masifa hasomi e mail wala barua? Kualamika hujawahi kuitwa ofisini kwa Mo dewji? Kujigamba kwamba nimepigiwa simu na viongozi wa simba ila nitaenda siku nitakayojisikia, TO HELL WITH THEM,WAONDOKE BWANA
 
hata zimbwe anastahili malipo mazuri kwa sasa analipwa milioni 4 kwa mwezi lakini ni malipo aliyosaini mkataba uliopita lakini kudai maslahi kwa style ya kumzodoa CEO kwamba anapenda masifa hasomi e mail wala baru?kuallamiak hujawahi kuitwa ofisini kwa Mo dewji?kujigamba kwamba nimepigiwa simu na viongozi wa simba ila nitaenda siku nitakayojisikia ,TO HELL WITH THEM,WAONDOKE

hata zimbwe anastahili malipo mazuri kwa sasa analipwa milioni 4 kwa mwezi lakini ni malipo aliyosaini mkataba uliopita lakini kudai maslahi kwa style ya kumzodoa CEO kwamba anapenda masifa hasomi e mail wala baru?kuallamiak hujawahi kuitwa ofisini kwa Mo dewji?kujigamba kwamba nimepigiwa simu na viongozi wa simba ila nitaenda siku nitakayojisikia ,TO HELL WITH THEM,WAONDOKE BWANA
Nimekupata. Ila Zimbwe nimemuelewa hasa katika msimu huu,ila iliyopita hasa wakati ule wa hamsa hamsa,nilikuwa simpendi kabisa.
 
wewe ni nani kuuliza hilo swali?muambieni kijana wenu na meneja wake hiyo milioni 23 ya south africa wasiiache kabisa wawahi haraka sana na shafih dauda atamsaidia kama alivyomsaidia Ramadhan singano kuepuka unyonyaji wa simba
Simba ni team ya wahindi. Wewe subiri team ifanye vizuri ukabweke mtaani.

Hakuna asiyejua wachezaji wazawa wanavyoonewa sana hata kama kiwango chao kiko juu.

Leo mko na Zimbwe, ili siku wachezaji wote wazawa wakiungana mtacheza nyie vimburu.
 
wewe ni nani kuuliza hilo swali?muambieni kijana wenu na meneja wake hiyo milioni 23 ya south africa wasiiache kabisa wawahi haraka sana na shafih dauda atamsaidia kama alivyomsaidia Ramadhan singano kuepuka unyonyaji wa simba
Tena awai fasta ili mashindano ya league zote yakiisha akusanye mabegi safari ianze haraka sana na kama viongoz wa simba wakimsaini tshabalala basi watakua wamekubali kuzaraulika mno sawa na kuvuliwa nguo kwa jins anavyoropoka yule meneja zozo zitakua zarau aende kwenye maslai mazuri simba si akuna maslai aende wapo wengne.
 
Simba ni team ya wahindi. Wewe subiri team ifanye vizuri ukabweke mtaani.

Hakuna asiyejua wachezaji wazawa wanavyoonewa sana hata kama kiwango chao kiko juu.

Leo mko na Zimbwe, ili siku wachezaji wote wazawa wakiungana mtacheza nyie vimburu.
We mpuuzi kweli wakiungane wakachome jengo moto au waue washabiki, yaani we fala kweli aisee sikutarajia kabisa. Ondokeni na huyo zimbwe wenu atakuja luhende au bryson wa kmc kwani wao siyo wazawa, kwendeni hukooo mnaleta usela mavi wa kinesi kwa watu wenye uweledi?
 
Tena awai fasta ili mashindano ya league zote yakiisha akusanye mabegi safari ianze haraka sana na kama viongoz wa simba wakimsaini tshabalala basi watakua wamekubali kuzaraulika mno sawa na kuvuliwa nguo kwa jins anavyoropoka yule meneja zozo zitakua zarau aende kwenye maslai mazuri simba si akuna maslai aende wapo wengne.
Nafkiri hata kwa sasa wampumzishe kwa muda,wampe na mapumziko hata ya week moja akasaini kabisa yanga au huko south africa kwenye milion 23 kwa mwezi sioni faida ya kupigiana makelele redioni wakati sehemu nyingine kuna maslahi zaidi.
 
we mpuuzi kweli wakiungane wakachome jengo moto au waue washabiki,yaani we fala kweli aisee sikutarajia kabisa...ondokeni na huyo zimbwe wenu atakuja luhende au bryson wa kmc kwani wao siyo wazawa,kwendeni hukooo mnaleta usela mavi wa kinesi kwa watu wenye uweledi?
Mwenye weledi hapo Simba ni nani🤣🤣🤣??
 
Umesema wewe kama nani!?
Simba ina msemaji wake na sio wewe mbumbumbu
unapoteza muda kujibu thread ya mbumbumbu? msemaji wa simba aseme nini sasa?meneja muhuni keshasema yanga kuna maslahi na south africa kuna milions 23 kwa mwezi.

FUNGENI MABEGI YENU MUONDOKE HARAKA eti meneja jehu linasema nimepigiwa simu na viongozi wa simba nitaenda siku ninayojisikia kwa mwendo huu wachezaji wazawa wasiojua kuchagua hata mameneja wataendelea kudharaulika

Yaani huyo mzozo huko south africa ndiye ataenda ku negotiate mkataba?
 
Back
Top Bottom