njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
- #21
anazidi kuchochea moto ingia instagram kaweka na meneno ya edo kumwembe wanalazimisha simba impe millions 100 wakidai ni kijana wa manzese mbona wageni wanapewaKwan yeye shaffih anasemaje!?
cha kushangaza huko yanga millions 100 ipo na atapata nafasi ya kuitwa kwa tajiri kupiga picha kama anacyotaka meneja wake, ni vyema aende yanga hata kule pia atakuwa ni mzawa