Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
#DAUDA_KAMJIBU_JEMEDARI
Shaffih Dauda kamjibu Jemedari Said kuhusu alichomkosoa Rais wa Yanga.
"Sidhani kama kuna shida yoyote kwa Rais wa Yanga kupiga picha na mchezaji wake au kufanya nae mazoezi,, Guys tunaishi kwenye Dunia gani ? Kuna jambo gani la ajabu ?"
"Rais Florentino Perez wa Real Madrid na Gareth Bale licha ya shida zao lakini Bale alikuwa mchezaji kipenzi kwa Rais, alikuwa anamualika kwake, walikuwa wanacheza Golf na haikuwa story kubwa kwa kuwa ni issue zao binafsi"
"Kwa nini Perez alimpenda sana Bale π΄σ §σ ’σ ·σ ¬σ ³σ Ώ ? Ni kwa kuwa alikuwa usajili wake wa kuvunja rekodi ya Dunia, ulikuwa usajili ambao Perez binafsi aliingia front kuhakikisha anamtoa kwa Danny Levy ili acheze Bernabeu"
"Ni kawaida kwa binadamu kupenda kuenjoy mafanikio yake au sehemu ya mkakati wake, ndio maana Hersi alipambana akaipata saini ambayo wengi hawakuamini, kwa nini asienjoy na mchezaji wake ?"
"Guys football is very easy, wengine watasema Wachezaji wengine watajisikia vibaya π Guys NO ! Tunazungumzia Dunia ya PROFESSIONAL FOOTBALLERS ambao hawajali kitu zaidi ya kazi yake uwanjani na pesa yake Benki, mengine ni subjective sana"
"Watamaind kama Aziz tu analipwa na wao hawalipwi, watamind tu kama Aziz anapangwa na wengine hawapangwi licha ya kiwango duni ila mengine ni ziada kabisa"
"Sikilizeni Kylian Mbappe anapendwa waziwazi na mmiliki wa PSG π«π·, Tamim El Than lakini Pros hakuna anayejali kila mtu anamkataba wake na malengo yake na klabu,, Hivi ni vitu vidogo sana"
"Hata watembee wote dukani, waende kula lunch pamoja na kupasha wote haina shida yoyote, hivi ni vitu vidogo sana kwenye Dunia ya weledi"
"Let's the president enjoy his success, kuna vitu vya kuhoji vya kiutendaji sio vyake binafsi"