Mwislamu na Rozali wapi na wapi ? Hirizi ile.
Ila tangu alipovuliwa hirizi yake ile akapotea kabisa uwanjani mpaka wakaamua kumtoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi tukiwa wa kweli mechi ya jana mashabiki wale kindakindaki, ni wa timu ipi ambao walikuwa wanajua kuwa leo timu yao inashinda? Obvious,ni wa simba!! Na kwa matokeo hayo ni kama yanga kashindaMtasema yote mwaka huu chezea Simba nyie mnaingia na matokeo ya kuifunga Simba mkishindwa mara Refa,mara Hirizi mtasema yote Vyura nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Kagere swala tano avae rozali
Ila tangu alipovuliwa hirizi yake ile akapotea kabisa uwanjani mpaka wakaamua kumtoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kumbe waislamu siku hizi wanavaa rosali?[emoji23]
Mkuu achana na vitoto vyilivyozaliwa 2000's unapoteza muda tu,ni vimbumbumbu sanaUmepaiki bosi! Hivi simba haijawahi kushangilia sare dhidi ya Yanga? Au ndugu we ni mgeni katika soka la Bongo! Ile sare ya 3 kwa 3 mwaka ule mikia walishangilia kama wamechukua ubingwa wa Afrika! Vumilia tu mkuu huwa inauma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha jazba Ukipost wewe inatoshaNchi hii imejaa waandishi wa habari na watangazaji uchwara sana wakiongozwa na huyu shafii pamoja na osca osca yaani vichwani watupu kabisa, unaweza ukajiuliza hawa jamaa wanauwezo gani wa kufikiri. wamekua watu wa chuki dhidi ya yanga za wazi wazi kabisa. najua huko uliko umenuna ila posti ile hirirzi ya kagere basi
Alibeba mzigo mzito sasa alivyotuliwa mzigo akaanzahisi maumivuHadi bega likawa linauma mara kwa mara
Sasa swala tano gani mvaa hirizi?Kagere swala tano avae rozali
Umepaiki bosi! Hivi simba haijawahi kushangilia sare dhidi ya Yanga? Au ndugu we ni mgeni katika soka la Bongo! Ile sare ya 3 kwa 3 mwaka ule mikia walishangilia kama wamechukua ubingwa wa Afrika! Vumilia tu mkuu huwa inauma sana
Sent using Jamii Forums mobile app