Shafii dauda (kanjanja) iposti hirizi ya kagere (kikongwe)

Shafii dauda (kanjanja) iposti hirizi ya kagere (kikongwe)

Yanga tushawazoea kwa majungu, ndio maana Manara juzi aliwapa makavu. Mara Simba imenunua mechi, mara hirizi, mara penati ya kupewa..... Mjue tu kuwa uwezo wenu ni mdogo ukilinga na Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtasema yote mwaka huu chezea Simba nyie mnaingia na matokeo ya kuifunga Simba mkishindwa mara Refa,mara Hirizi mtasema yote Vyura nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi tukiwa wa kweli mechi ya jana mashabiki wale kindakindaki, ni wa timu ipi ambao walikuwa wanajua kuwa leo timu yao inashinda? Obvious,ni wa simba!! Na kwa matokeo hayo ni kama yanga kashinda
 
Mshana Jr njoo huku utoe uthibitisho wa ile hirizi ilikuwa ya kitanzania au kinigeria,kuna watu wanataka wavamie fani yako wakidai ile ni rozari.
 
Umepaiki bosi! Hivi simba haijawahi kushangilia sare dhidi ya Yanga? Au ndugu we ni mgeni katika soka la Bongo! Ile sare ya 3 kwa 3 mwaka ule mikia walishangilia kama wamechukua ubingwa wa Afrika! Vumilia tu mkuu huwa inauma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu achana na vitoto vyilivyozaliwa 2000's unapoteza muda tu,ni vimbumbumbu sana
 
A
Nchi hii imejaa waandishi wa habari na watangazaji uchwara sana wakiongozwa na huyu shafii pamoja na osca osca yaani vichwani watupu kabisa, unaweza ukajiuliza hawa jamaa wanauwezo gani wa kufikiri. wamekua watu wa chuki dhidi ya yanga za wazi wazi kabisa. najua huko uliko umenuna ila posti ile hirirzi ya kagere basi
Acha jazba Ukipost wewe inatosha
 
Hahaha inauma nini sasa, hongereni kwa kua mabingwa mwaka huu
Umepaiki bosi! Hivi simba haijawahi kushangilia sare dhidi ya Yanga? Au ndugu we ni mgeni katika soka la Bongo! Ile sare ya 3 kwa 3 mwaka ule mikia walishangilia kama wamechukua ubingwa wa Afrika! Vumilia tu mkuu huwa inauma sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani waandishi wa yanga hawana picha au clip wapost
 
Back
Top Bottom