Shafii dauda (kanjanja) iposti hirizi ya kagere (kikongwe)

Oscar Oscar
Oscar Oscar ndo hana ndo kanjanja kabisa.
 
Wananchi bana wanashangilia draw .
 
Hivi huyu mama kavuta ngapi kwa Moo, yaani tuko kwenye move nzuri, kibabu kinajiangusha wala hakikuwa na mpira, Cha kushangaza Mama anasimamisha mpira, aki ya Mungu kama siyo kusimamisha Mpira, walikuwa wanakufa lingine shenzi typeee
Mkuu hakika aliniuzi hatari pale yule ajuza.....lilikuwa goli la equalize pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba shafii dauda siyo mchambuzi wa mpira wa miguu, fatilia vipindi vya sport extra vya clouds siku akiwepo ni makelele, kudakia hoja, hakuna maelezo ya kueleweka yani ni sawa na mbwiga
 
Hairuhusiwi ndio maana akanyang'anywa, hata kushika kama alivyofanya Yondani hairuhusiwi vilevile.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijui unazungumzia kitu gani hapa..usijaribu kukwepesha jambo au ushirikina michezoni...Suala la Yondani linajulikana kwamba kushika wenzio hairuhusiwi...Issue hapa ni wale wanaotetea ujinga kuwa eti kilicchoonekana kwa Kagere siyo hirizi bali ni rozari...sasa hawa wenye hoja kama hizi ni mashabiki wale wa oyayayayayayayaoyayahoyahoya...Ndani ya uwanja mchezaji haruhusiwi kuwa na mkufu, heleni, pete ya ndoa, heleni, bangili, rozari na kadhalika...Kabla ya mchezo wachezaji hukaguliwa...sasa suala hapa ni kuwa kama wote walikaguliwa sasa ilikuwaje huyo Kagere akutwe nacho uwanjani??? Je alikuwa ameklificha katika sehemu ipi ya mwili mmpaka kuwafanya marefarii na kamisaa wasikione hicho kitu??
 
Inawezekana walioverlook hawakukagua wakiamini wachezaji hawatakuwa na vitu hivyo, who knows.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagere ni muislam yule, yeye na Rozali wapi na wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
dauda nimeanza kumsikiliza tokea 2007 akiwa na kina lwambano, baadae kina jef aisee jamaa anaongozwa na hisia MNOOO katika uchambuzi.......


usiombe achambue kuhusu liverpool, Lol huwa anakuwa kituko, ushabiki wake kwa man u huwa unaongoza...... hajui kucontrol hisia zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyu mama kavuta ngapi kwa Moo, yaani tuko kwenye move nzuri, kibabu kinajiangusha wala hakikuwa na mpira, Cha kushangaza Mama anasimamisha mpira, aki ya Mungu kama siyo kusimamisha Mpira, walikuwa wanakufa lingine shenzi typeee
sheria za soka zimebadilika
 
ile likuwa cheni bahati nzuri youtube wameonyesha vizuri toka mwamuzi znaichukua akamrushia mwamuzi msaidizi ambaye akapeleka benchi la simba ila vyura kwa kutafuta sababu wakazusha ni hirizi lakini kama simba wanaweza kutengeneza hirizi za cheni basi wako juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…