Ok hata kama ni rozali je inaruhusiwa mchezoni???? Je heleni, bangili, mikufu inaruhusiwa mchezoni??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oscar Oscar ndo hana ndo kanjanja kabisa.Nchi hii imejaa waandishi wa habari na watangazaji uchwara sana wakiongozwa na huyu shafii pamoja na osca osca yaani vichwani watupu kabisa, unaweza ukajiuliza hawa jamaa wanauwezo gani wa kufikiri. wamekua watu wa chuki dhidi ya yanga za wazi wazi kabisa. najua huko uliko umenuna ila posti ile hirirzi ya kagere basi
Namaanishi muislamu na rozali wapi na wapiSasa swala tano gani mvaa hirizi?
Ulikuwa umezuiwa na mtu mbele yako kwenye kibanda umiza hukuona vizuri, ni cheni ile.
Hairuhusiwi ndio maana akanyang'anywa, hata kushika kama alivyofanya Yondani hairuhusiwi vilevile.Ok hata kama ni rozali je inaruhusiwa mchezoni???? Je heleni, bangili, mikufu inaruhusiwa mchezoni??
Ok, i got uNamaanishi muislamu na rozali wapi na wapi
Mkuu hakika aliniuzi hatari pale yule ajuza.....lilikuwa goli la equalize pale.Hivi huyu mama kavuta ngapi kwa Moo, yaani tuko kwenye move nzuri, kibabu kinajiangusha wala hakikuwa na mpira, Cha kushangaza Mama anasimamisha mpira, aki ya Mungu kama siyo kusimamisha Mpira, walikuwa wanakufa lingine shenzi typeee
Akafunga goli na kutoa assistIla tangu alipovuliwa hirizi yake ile akapotea kabisa uwanjani mpaka wakaamua kumtoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hairuhusiwi ndio maana akanyang'anywa, hata kushika kama alivyofanya Yondani hairuhusiwi vilevile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana walioverlook hawakukagua wakiamini wachezaji hawatakuwa na vitu hivyo, who knows.Sijui unazungumzia kitu gani hapa..usijaribu kukwepesha jambo au ushirikina michezoni...Suala la Yondani linajulikana kwamba kushika wenzio hairuhusiwi...Issue hapa ni wale wanaotetea ujinga kuwa eti kilicchoonekana kwa Kagere siyo hirizi bali ni rozari...sasa hawa wenye hoja kama hizi ni mashabiki wale wa oyayayayayayayaoyayahoyahoya...Ndani ya uwanja mchezaji haruhusiwi kuwa na mkufu, heleni, pete ya ndoa, heleni, bangili, rozari na kadhalika...Kabla ya mchezo wachezaji hukaguliwa...sasa suala hapa ni kuwa kama wote walikaguliwa sasa ilikuwaje huyo Kagere akutwe nacho uwanjani??? Je alikuwa ameklificha katika sehemu ipi ya mwili mmpaka kuwafanya marefarii na kamisaa wasikione hicho kitu??
Sijui unazungumzia kitu gani hapa..usijaribu kukwepesha jambo au ushirikina michezoni...Suala la Yondani linajulikana kwamba kushika wenzio hairuhusiwi...Issue hapa ni wale wanaotetea ujinga kuwa eti kilicchoonekana kwa Kagere siyo hirizi bali ni rozari...sasa hawa wenye hoja kama hizi ni mashabiki wale wa oyayayayayayayaoyayahoyahoya...Ndani ya uwanja mchezaji haruhusiwi kuwa na mkufu, heleni, pete ya ndoa, heleni, bangili, rozari na kadhalika...Kabla ya mchezo wachezaji hukaguliwa...sasa suala hapa ni kuwa kama wote walikaguliwa sasa ilikuwaje huyo Kagere akutwe nacho uwanjani??? Je alikuwa ameklificha katika sehemu ipi ya mwili mmpaka kuwafanya marefarii na kamisaa wasikione hicho kitu??
sheria za soka zimebadilikaHivi huyu mama kavuta ngapi kwa Moo, yaani tuko kwenye move nzuri, kibabu kinajiangusha wala hakikuwa na mpira, Cha kushangaza Mama anasimamisha mpira, aki ya Mungu kama siyo kusimamisha Mpira, walikuwa wanakufa lingine shenzi typeee
😂😂😂😂Ulikuwa umezuiwa na mtu mbele yako kwenye kibanda umiza hukuona vizuri, ni cheni ile.
Sent using Jamii Forums mobile app