Shafii dauda (kanjanja) iposti hirizi ya kagere (kikongwe)

Kweli we wa MBAGALA....unajambajamba tu kwenye tope hueleweki wala hujielew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ALIPOSEMA SIMBA UNDERDOG MLIFURAHIA TULIENI SINDANO IINGIE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka leo hii bado ni mada?hata baada ya kupata ushahidi usio na shaka
 
Mpigie simu umueleze
 
Kweli we wa MBAGALA....unajambajamba tu kwenye tope hueleweki wala hujielew

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi kwasababu muungwana nakusamehe. kichwani kwako mtupu kabisa na hii inatokana na ugali wa bure unaokula hapo kwa shemeji yako nakushauri hama hapo kwa shemeji yako unapokaa after one week akili yako atleast itafaa kujadili jambo kwenye hadhara
 
Sawa msela Wa mbagala kwa tabu ya usafiri Wa kwenu namna mnavyojazana na kujambiana sishangai kuwa na akili hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…