Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

Angepewa gamondi wiki 2 kabla ya hii mechi angeshinda au sana sana droo.
Huyu kocha wa Stars sasahivi Ana bahatisha na sijui wamemtoa wapi , Ila Jana ameumbuka toka amekuja hajui first eleven yake .
Inasikitisha....timu haishambulii
 
Hata kama alipangiwa kikosi kikubwa bora timu imefungwa maana ingingeshinda tu wanasiasa wangeanza kuibuka na kusema; Haya ni mafanikio ya SISIEMU.
 
Imethibitika jamaa kuwa yeye shaffih hajui kitu
 
Hata kama alipangiwa kikosi kikubwa bora timu imefungwa maana ingingeshinda tu wanasiasa wangeanza kuibuka na kusema; Haya ni mafanikio ya SISIEMU.
[emoji23][emoji23]lkn usisahau kuwa sisiemu ndo wanaojenga viwanja
 
Ni kweli kabisa team inakaba kwa nguvu sana ila wakipata mpira hata dakika moja haifiki tayari wameshapokonywa team haina utulivu ni butua butua tu kiufupi jana kocha kazingua sana yaani wachezaji wanakimbia kama wanakimbiza swala porini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…