Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

Angepewa gamondi wiki 2 kabla ya hii mechi angeshinda au sana sana droo.
Huyu kocha wa Stars sasahivi Ana bahatisha na sijui wamemtoa wapi , Ila Jana ameumbuka toka amekuja hajui first eleven yake .
Inasikitisha....timu haishambulii
 
Hii list ya Jana ya wachezaji ... kocha alipangiwa na nani?
Yaani unaacha mastaa wako nje?"[emoji47][emoji47]..... Shafii

Msuva sub
Samata sub
Job sub ....kukamilisha ukuta wa yericko
Feitoto.....nje
Mudathiri .....sub
Kibu ......ndani

Hata kama mpira una maajabu ....but haiwezi kuwa kirahisi hiviView attachment 2821324
Hata kama alipangiwa kikosi kikubwa bora timu imefungwa maana ingingeshinda tu wanasiasa wangeanza kuibuka na kusema; Haya ni mafanikio ya SISIEMU.
 
Imethibitika jamaa kuwa yeye shaffih hajui kitu
 
Hata kama alipangiwa kikosi kikubwa bora timu imefungwa maana ingingeshinda tu wanasiasa wangeanza kuibuka na kusema; Haya ni mafanikio ya SISIEMU.
[emoji23][emoji23]lkn usisahau kuwa sisiemu ndo wanaojenga viwanja
 
Ni kweli kabisa team inakaba kwa nguvu sana ila wakipata mpira hata dakika moja haifiki tayari wameshapokonywa team haina utulivu ni butua butua tu kiufupi jana kocha kazingua sana yaani wachezaji wanakimbia kama wanakimbiza swala porini.
 
Back
Top Bottom