Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

Alifanya majaribio ya wachezaji
Ile formula ya kukaba mwanzo mwisho inatakiwa umeshapata matokeo sio unatafuta yaani 10 man behind the ball 90 minute it's nonsense sense press retains the ball and relax
 
Ile formula ya kukaba mwanzo mwisho inatakiwa umeshapata matokeo sio unatafuta yaani 10 man behind the ball 90 minute it's nonsense sense press retains the ball and relax
Sahihi kiongozi
 
TUUUNDE TUME KUCHUNGUZA WALIOPANGA LIST YA JANA
SIJUI NA TAKU...WANATUSAIDIAJE ANYWAY///
YANGU BADO UCHUNGUZI UNAENDELEA
NIKOPALE KWA MASAWEEE..
KWA ZAMBIAA HIII LOH
Tanzania tume inaundwa mbele ya hadra lakini majibu ya tume yanabaki kwa aliteunda tume
 
Back
Top Bottom