OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #181
George anafanya utafiti na kusoma sana so anakuwa well informed,siyo kina Shaffi wanakuja studio kutembea anakutana na taarifa na kuanza kuchangiaMwalimu kashasha na george ambangile wa magic fm.
Hivi ndio vichwa vyangu.
Hilo jamaa ni zigo lenu mkuuHalafu ndo mnasema huyu ni Simba,Simba hatuna mijitu kama hii hovyo
Mwenzako ni mchambuzi tangu wakati wewe bado unachunga ng'ombe.Halafu ndo mnasema huyu ni Simba,Simba hatuna mijitu kama hii hovyo
Zigo lenu hilo Yanga msituangushie zigoHilo jamaa ni zigo lenu mkuu
Mnamkataa wakati hata nafasi za uongozi mnampa form?Aaah msimtenge kijana wenuZigo lenu hilo Yanga msituangushie zigo
Mbumbumbu mnageukana sasa hiviHalafu ndo mnasema huyu ni Simba,Simba hatuna mijitu kama hii hovyo
mi namkubali tigana lukinja...Mwalimu kashasha na george ambangile wa magic fm.
Hivi ndio vichwa vyangu.
Shaffi anafahamu kuucheza mpira na kuuchambua ..kwangu future TFF president..ana passion na soka (Ndondo cup live kideoni)Yanga walitaka kumsajili akiwa anasoma Azania ...sasa Haji kafanya nini kwenye soka hata UMISETA hajacheza..wote mnaomponda labda mjini mmekuja au chuki za kike....Mtanzania pekee aliyetazama mechi nyingi za world cup na EUFA finals....nilishangaa Manara anasema Dauda alikuwa anasukuma vitorori bank..MTU wa IT anafanya vipi kazi hizo..mwingine anazungumzia hajui English..wakati IT INA lugha zake..kwenye programming English ya nini.....SIMBA nyie ni underdog hata kwa YANGA...Ubingwa Yanga Mara 27 nyie 19...mechi tumewafunga nyingi,magoli tumewafunga mengi...shubamit kenge zenu..takwimu zinaongea sio makeleleDr Leakey, Osca Osca, Mussa Mwakisu na Kumwembe,,..Ova hawa ndio wachambuzi wangu
Mkuu mimi sio simba na hii niliipost kabla ya haya maugomvi yao ya muda huu, hata mimi Haji namchukia maaana amekuwa kama muimba taarabu wakati mpira hauko hivyo.Shaffi anafahamu kuucheza mpira na kuuchambua ..kwangu future TFF president..ana passion na soka (Ndondo cup live kideoni)Yanga walitaka kumsajili akiwa anasoma Azania ...sasa Haji kafanya nini kwenye soka hata UMISETA hajacheza..wote mnaomponda labda mjini mmekuja au chuki za kike....Mtanzania pekee aliyetazama mechi nyingi za world cup na EUFA finals....nilishangaa Manara anasema Dauda alikuwa anasukuma vitorori bank..MTU wa IT anafanya vipi kazi hizo..mwingine anazungumzia hajui English..wakati IT INA lugha zake..kwenye programming English ya nini.....SIMBA nyie ni underdog hata kwa YANGA...Ubingwa Yanga Mara 27 nyie 19...mechi tumewafunga nyingi,magoli tumewafunga mengi...shubamit kenge zenu..takwimu zinaongea sio makelele
Haji anapenda kusema Dismas ten wakuja mbona hathubutu kusema Shafii wakuja...wakati Haji anasoma Jitegemee kwenye madarasa ya mabati..Shaffi form one mpaka six Azania..wapi na wapi..Shafii kasoma PCM ..Haji sijui KLF masomo ya kike...nikiongea mwanaume kaa kimya jiji letu tuliosoma Tambaza na Azania tu