Sijui alitumia kigezo gani kusema simba ndio underdogShafiii ili ashike adabu ni kublock Website yake kwa Wasimba na Watembeleaji wakipungua dili za matangazo nazo zitapungua mnooo na akili itamrudi vzuri. Ngoja tuingize huu mjadala kwenye magroup ya Wasap kitaeleweka tu manina zake.
Wakuu kulikuwa na figisu figisu baada ya kutoka kwa kauli ya mchambuzi wa mpira tanzania shafii dauda kuwa simba ndio underdog kwenye kundi lake lakini kilichotokea leo naona simba wamemprove long
This is simba
YES WE CAN
Hahahahahaa nimecheka hatariShafii Dauda nilimuona chenga tangu kombe la Dunia lililofanyika Afrika ya Kusini. Yaani hata Pweza wa Ujerumani alimshinda.
NopeKudhaniwa UNDERDOG haimaanishi timu hio itafanya vibaya. Wanaangalia history ya hio timu na wapi inatokea. Ikinganishe timu tako simba na zingine kwenye kundu lenu utaona kweli ni underdog au underdog-but one!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule jamaa ni chenga yule! Akiwa na wenzake anataka mawazo yake yaonekane bora kabisa kwenye uchambuaji wa soka.Hahahahahaa nimecheka hatari
Hovyo sanaYule jamaa ni chenga yule! Akiwa na wenzake anataka mawazo yake yaonekane bora kabisa kwenye uchambuaji wa soka.
As Vita na AL AHLY ndo wababe wa kundi wewe na huyo mualgeria ndo mgombanie pointsSijui alitumia kigezo gani kusema simba ndio underdog