Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

Wakuu kulikuwa na figisu figisu baada ya kutoka kwa kauli ya mchambuzi wa mpira tanzania shafii dauda kuwa simba ndio underdog kwenye kundi lake lakini kilichotokea leo naona simba wamemprove long
This is simba
YES WE CAN
 
Shafiii ili ashike adabu ni kublock Website yake kwa Wasimba na Watembeleaji wakipungua dili za matangazo nazo zitapungua mnooo na akili itamrudi vzuri. Ngoja tuingize huu mjadala kwenye magroup ya Wasap kitaeleweka tu manina zake.
Sijui alitumia kigezo gani kusema simba ndio underdog
 
Kudhaniwa UNDERDOG haimaanishi timu hio itafanya vibaya. Wanaangalia history ya hio timu na wapi inatokea. Ikinganishe timu tako simba na zingine kwenye kundu lenu utaona kweli ni underdog au underdog-but one!
Wakuu kulikuwa na figisu figisu baada ya kutoka kwa kauli ya mchambuzi wa mpira tanzania shafii dauda kuwa simba ndio underdog kwenye kundi lake lakini kilichotokea leo naona simba wamemprove long
This is simba
YES WE CAN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudhaniwa UNDERDOG haimaanishi timu hio itafanya vibaya. Wanaangalia history ya hio timu na wapi inatokea. Ikinganishe timu tako simba na zingine kwenye kundu lenu utaona kweli ni underdog au underdog-but one!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nope
Yeye alikuwa na uhakika asimilia zote kuwa simba akipata point labda mbili tu kwnye michezo sita lakini simba tayri wana point tatu na goli tatu what a start
KUFA KUPONA
YES WE CAN
Haji Manara ndiye msemaji bora kabisa kutokea simba
 
Back
Top Bottom