Shafii Dauda ni mropokaji

Shafii Dauda ni mropokaji

balumbe

Senior Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
114
Reaction score
18
Nimemsikiliza Sports Extra mara nyingi analopoka tu bila ya ushahidi

Leo kwenye kipindi anasema mechi za Azam kati ya Simba na Yanga zinachezewa Uwanja wa Taifa badala ya Chamazi anashindwa kujua kuwa Uwanja wa Chamazi uwezo wake ni watu 7000 wakati mechi za Simba na Yanga zina mashabiki wengi inajulikana.

Kwa hiyo uwanja wa Chamazi hauwezi kutosheleza kwa Simba na Yanga.
 
Hahahaaaa.... Acha kumsikiliza. Alafu tuwekee na picha yake akiwa anaropoka
 
Balumbe umenisikitisha sana inaonesha una chuki binafs na Dauda..sababu ya mechi ya Azam na Yanga au Simba kupelekwa uwanja wa taifa ni kutaka kupata mapato zaid na wala si vingnevyo.

umeambiwa ni lazima kila mtu aende kiwanjan..hata km uwanja una uwezo wa watu 7000 bado mechi ya azam na hao unaosema wana washabik wengi inaweza kuchezwa tena itapunguza hata tiket za kugushi.

vp mechi zinazofanyika mikoan viwanja havina uwezo hata washabik 5000
 
Balumbe ww ndo mropokaji unaonekana una chuki binafsi na Dauda ila kwa hii post yako bado xana,Shaffi yuko vzur na he does his work very well c mropokaji kama ww unavyodai
 
Kuna kipindi mada ya azam kucheza uwanja wa taifa ilikuwa hot na huyo huyo shaffih ndo alikuwa anapinga hiyo mechi kycheza azam complex tena leo kachenji!!
 
Mapato zaidi yanatoka wapi sasa kma sio lazima kila mtu kwenda kiwanjani.?
 
Azam wanasema wakicheza na YANGA ama SIMBA pale TAIFA mara mbili mbili kwa msimu, inamaanisha wamecheza big match zote UGENINI, wanakosa ile HOME ADVANTAGE
 
Mapato zaidi yanatoka wapi sasa kma sio lazima kila mtu kwenda kiwanjani.??

Fikir nje ya box mapato ya kutegemea get collection ni kias tu..timu zinaweza kupata kupitia vyanzo vingine km Tv rights,uuzaji wa vifaa vya michezo vyenye nembo ya timu husika,kujenga kitu km museum ambayo itakua ina collection za makombe na historia ya timu..wenzetu waliliona hili mapema na kwao ni historia..ndo maana uingereza kuna timu zina viwanja vinachukua idadi ya ndogo ya mashabik lakin bado mechi zinachezwa katika viwanja hivyo
 
Huyu Bwana anashindwa kujitambua kabisa na ni mpotoshaji maana sababu ya mechi za Azam na Simba na Yanga kuchezwa Taifa ni za kiusalama zaidi ukizingatia uwanja wa Azam Complex ni mdogo sana ku accommodate mashabiki wa hizi timu kubwa mbili.

hili linatokana na kuwa uwanja huo hupo hapa Dar eneo ambalo hizi timu zina mashabiki maelfu watakaoweza kwenda pale Chamazi lakini pia uwanja wa Taifa stil ni neutral ground kwa timu zote maana haumilikiwi na Simba wala Yanga na Azam pia ni timu ya Dar es salaam tena kijiografia inatoka wilaya ya Temeke ambapo uwanja wa Taifa upo.

Huyu Bwana anataka mechi ichezwe Chamazi yatokee maafa ndio ajue ni hatari lakini pia ata Hoja ya mapato nayo ni ya msingi timu zetu zinahitaji fedha kwa wingiza mlangoni kama kuna opportunity hiyo uwanja wa Taifa kwa nini wasiitumie.
 
Kaka hujui mpira shafii yupo sahihi ndo maana Hata qpr inachukua watu elfu 20 lakini wanacheza kwao ina maana hakuna means ya mapato zaidi ya getini tu Tanzania haitaweza kuendelea kimpira maana watu tulionao hawana mawazo ya kukomboa mpira kama ww
 
Azam wanasema wakicheza na YANGA ama SIMBA pale TAIFA mara mbili mbili kwa msimu, inamaanisha wamecheza big match zote UGENINI, wanakosa ile HOME ADVANTAGE

Ni kweli lakini,kigezo cha mapato mi sikiafiki. Azam wanataka point 3 mapato ni addition tu
 
MABATINI NAKO MBONA AWAHAMI WAKAPELEKA SOKOINE

Nafikiri. HUKUMUELEWA SHAFFIDAIKARUSI MAANA ALIKUWA STRAIGHT KWANINI AZAM MECHI ZASIMBA NAYANGA ACHEZEZOTE UGENINI EASY UITAJI NDUMU KUMUELEWABRAZAKAMAVIPINIKURUSHIEGOMBOLANAOROBIUTAFUNEUMWELEWEKID
 
Jamaaaa mangonear nyimbozake kupigwaclouds nini semanaovizuri akunachabure awakwenda kulimalami
 
Huyu Bwana anashindwa kujitambua kabisa na ni mpotoshaji maana sababu ya mechi za Azam na Simba na Yanga kuchezwa Taifa ni za kiusalama zaidi ukizingatia uwanja wa Azam Complex ni mdogo sana ku accommodate mashabiki wa hizi timu kubwa mbili na hili linatokana na kuwa uwanja huo hupo hapa Dar eneo ambalo hizi timu zina mashabiki maelfu watakaoweza kwenda pale Chamazi lakini pia uwanja wa Taifa stil ni neutral ground kwa timu zote maana haumilikiwi na Simba wala Yanga na Azam pia ni timu ya Dar es salaam tena kijiografia inatoka wilaya ya Temeke ambapo uwanja wa Taifa upo.

Huyu Bwana anataka mechi ichezwe Chamazi yatokee maafa ndio ajue ni hatari lakini pia ata Hoja ya mapato nayo ni ya msingi timu zetu zinahitaji fedha kwa wingiza mlangoni kama kuna opportunity hiyo uwanja wa Taifa kwa nini wasiitumie.

Maafa gani nyie..? Ni mpangilio tu unakosekana na watu hasa wa tff na makomandoo wa simba/yanga kutaka kujipatia pesa kupitia mechi hizi. Uwanja wa united pale OT unachukua watu takribani 77,000 na uwanja kama turf moor unachukua watu wasiozidi 25,000 lakini bado united inaenda kucheza pale,mbona hatujawahi kusikia maafa?
Pale Misri viwanja vyao ni vikubwa lakini maafa almost daily na nyie ni mashaidi.
Note: watu kuleta fujo na kusababisha maafa haijalishi uwanja ni mkubwa au mdogo
 
Mechi ya Azam na El-Mereikh iliyochezwa Chamazi watu wengi sana walifungiwa milango huku wakiwa na tiketi mikononi kwa sababu uwanja ulijaa na kukosa nafasi ya kuweza kubeba watu wengine zaidi.

Kama hali hiyo ilitokea kwa mechi ambayo ilihusisha Azam na timu ngeni sasa kwa Simba na Yanga hali itakuwaje?

Uwanja ule ungekuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji japo kati ya elfu 15 hadi elfu 25 na TFF wakawakatalia kuutumia kwenye zinazohusu ama Simba na wao ama Yanga na wao wangekuwa na sababu ya kulalamika lakini kwa sasa uwanja ule uwezo wake ni mdogo sana, hakuna sababu ya kunyima watu fursa ya kwenda kuona mechi wakati uwanja wa kuweza kuwapa fursa hiyo upo tena hauko mbali sana na ule wa kwao.
 
Maafa gani nyie..? Ni mpangilio tu unakosekana na watu hasa wa tff na makomandoo wa simba/yanga kutaka kujipatia pesa kupitia mechi hizi. Uwanja wa united pale OT unachukua watu takribani 77,000 na uwanja kama turf moor unachukua watu wasiozidi 25,000 lakini bado united inaenda kucheza pale,mbona hatujawahi kusikia maafa?
Pale Misri viwanja vyao ni vikubwa lakini maafa almost daily na nyie ni mashaidi.
Note: watu kuleta fujo na kusababisha maafa haijalishi uwanja ni mkubwa au mdogo

Mimi nadhani hujasoma vizuri hoja zangu umekimbilia kujibu tu halafu sidhani kama mifano ya uingeleza ina suit mazingira kuanzia usalama mpaka miundo mbinu pitia vizuri nilichokijibu ndio urudi uandike upya.
 
Haya na mfano wa Misri nao hau suit mazingira yetu? Tunatakiwa tujifunze kwa waliofanikiwa mkuu
 
Back
Top Bottom