Shafii Dauda: Sitoshangaa msimu ujao Yanga wakaalikwa Ulaya

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
SHAFFIH DAUDA:SITOSHANGAA YANGA MSIMU UJAO WAKAALIKWA ULAYA.

"Nimefuatilia PreSeason ya Yanga kwa maana maandalizi yao ya msimu mpya wakiwa hapa nyumbani na baadae kwenda Afrika Kusini kwa mualiko maalumuna hivi vitu haviji tu ni lazima kuna mbegu unakuwa umeipanda baada ya muda ndio unaona shina na matunda yake , Yanga wamefanikiwa kwenye hilo hasa matokeo ya jumla ya mechi zao"

"Hii imefanya wauze sana na sitoshangaa kama msimu ujao watapata mialiko mingi zaidi" SHAFFIH DAUDA

NB wakati wengine wakihangaika na timu za daraja la 4[emoji23][emoji23]
1722178429752.jpg
 
SHAFFIH DAUDA:SITOSHANGAA YANGA MSIMU UJAO WAKAALIKWA ULAYA.

"Nimefuatilia PreSeason ya Yanga kwa maana maandalizi yao ya msimu mpya wakiwa hapa nyumbani na baadae kwenda Afrika Kusini kwa mualiko maalumuna hivi vitu haviji tu ni lazima kuna mbegu unakuwa umeipanda baada ya muda ndio unaona shina na matunda yake , Yanga wamefanikiwa kwenye hilo hasa matokeo ya jumla ya mechi zao"

"Hii imefanya wauze sana na sitoshangaa kama msimu ujao watapata mialiko mingi zaidi" SHAFFIH DAUDA

NB wakati wengine wakihangaika na timu za daraja la 4[emoji23][emoji23]View attachment 3056630
Uleya ipi? Kumbe tunao tumia vilevu tuko wengi
 
Hata Uturuki ipo Ulaya, na timu zote za Kariakoo zilishaendaga 😁
 
Back
Top Bottom