Shafii Dauda usilazimishe maoni yako kuwa sheria kwakuwa umepewa 10% ili uisifie Simba SC

Mchambuzi wangu bora wa muda wote ni Amry Kiemba tu hao wengine huwa sina habari nao kabisa
 
Kwa hiyo hautaki?🙏😂😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkiambiwa ukweli mnahaha,kama malaya kaona pochi limevimba mijihela
 
Utopolo acheni wivu. shida yenu wenye akili ni wawili tu huko kwenu utopoloni.
 
vipi yao yao,nzengeli ni wachezaji wa bei ndogo?
 
Wachambuzi wanaoleweka Tanzania ni Ramadhani mbwaduke, liki abdala , godlisen muro , Ali mayay, sekilojo Chambua na amri kiemba

Hao wengine wapo kiushabiki zaidi kuliko uhalisia
 
Kwa mpira waliocheza azam na yanga jana bado kuna shida kwenye te zote mbili niwakumbushe tu zalan safari hii haipo Caf champions league .
 
Kwa mpira waliocheza azam na yanga jana bado kuna shida kwenye te zote mbili niwakumbushe tu zalan safari hii haipo Caf champions league .
Simba Ina wachezaji gani wa kuchukua kombe au kufika fainali ya klabu bingwa.??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yuko sahihi ,nisawa Leo hii ,upinge club Bora na tajiri muda wote ni Madrid ulaya

Kwahiyo ,uipinge kisa man city kabeba ndoo clab bingwa ulaya msimu huu

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…