Shaggy na samaki wa Mwanza

Shaggy na samaki wa Mwanza

Shagiguku

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
409
Reaction score
138
bingwa wa dance hall shaggy aliwashangaza watu pale villa resort (maarufu kama villa park) mwanza juzi jumamosi alipowasifia samaki aina ya sato kuwa ni watamu na kuwafananisha na wasichana wa tanzania kuwa ni wakalimu. shaggy alikuwa akipata viburudisho kabla ya kuelekea annex hotel (zamani ikiitwa kitwima hotel iliyopo kirumba ) kwenda kumalizia starehe zake....
 
Kwahiyo chakushangaza hapo ni nini haswa?!Maana kama utamu wa samaki sio uongo kwahiyo haishangazi....na ukarimu wowote ule anaoongelea vile vile upo kwahiyo haishangazi....SASA KILICHOKUSHANGAZA WEWE NI NINI?!
 
Hapa clouds wamechemsha Shaggy ni msanii cheap sana kwa sasa hana jipya
 
hahahahah hapo kashakaribishwa na wale wakaribisha wageni maarufu!
 
Kwahiyo chakushangaza hapo ni nini haswa?!Maana kama utamu wa samaki sio uongo kwahiyo haishangazi....na ukarimu wowote ule anaoongelea vile vile upo kwahiyo haishangazi....SASA KILICHOKUSHANGAZA WEWE NI NINI?!

hey Lizzy sio lazima ashangazwe. mgeni wetu katupa sifa zetu na vilivyo vyetu. jamaa kaona atujuze nasi tujue tulivyosifiwa. ni hilo tu. nadhani kauli nzuri, kama tulivyo kwa asili, ni kujibu asante. au vip?
 
Watu wengine bwana,sasa kama kasifia sato watamu cha ajabu nini? au ulitaka asema wameoza? Kama huna cha kuweka humu cheza game tu.
 
Back
Top Bottom