Shahada ya sheria (LL.B) imefutwa rasmi Tanzania?

Janja PORI

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
825
Reaction score
246
Wadau wa sheria nchini, nadhani hii concept ya Law School watu bado hawajaelewa au ni kukurupuka.

Siku hizi naskia mtu mwenye digrii ya sheria akienda kuomba tempo ya kufundisha sekondari eti anambiwa athibitishe kama amepitia law school na amekuwa admitted kama advocate. hii law school haijaeleweka kabisa.

Kwanini nauliza kama hii shahada imefutwa au la?

Nimeona kazi zimetangazwa, ila kazi ambayo anaweza kufanya mtu wa Sociology au Digrii nyingine, ila wa Sheria anaambiwa awe amepitia Law School, inamaana digrii ya sheria haijakamilika ama?

Hizi hapa chini ni mfano wa kazi ambazo mwenye LL.B hana vigezo ila mtu wa course ya Sociology au Public Administration anaweza pata

6.0 THE COMMISSION FOR MEDIATION AND ARBITRATION
(CMA)

The Commission for Mediation and Arbitration (CMA) is an independent Government

Institution, established under Section 12 of the Labor Institutions Act No. 7 of 2004 (LIA No. 7 of 2004).

6.1 MEDIATOR II - 28 POSTS – RE- ADVERTISED

6.1.1 QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE

· Bachelor Degree in Law, with accomplishment of internship or law school of Tanzania. Or

· Holders of Bachelor Degree in Economics, Social Sciences (Sociology, Human

Resources and Public Administration) or Advance Diploma in Labor Studies, with Post Graduate Diploma in Law Mediation and Arbitration from a recognized Academic Institution.

· Exposure to labor relations and dispute resolution will be an added advantage.

· Should have good discipline, healthy and ready to work anywhere in Tanzania
Mainland.

6.2 ARBITRATOR II - 26 POSTS - RE- ADVERTISED

6.2.1 QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE

· Bachelor Degree in Law, with accomplishment of internship or law school of Tanzania. Or

· Holders of Bachelor Degree in Economics, Social Sciences (Sociology, Human

Resources and Public Administration) or Advanced Diploma in Labor Studies, with Post Graduate Diploma in Law Mediation and Arbitration from a recognizedAcademic Institution.

· Exposure to labor relations and dispute resolution will be an added advantage.

· Should have good discipline, healthy and ready to work anywhere in Tanzania Mainland.
 
Mbona hueleweki, kicha cha habari kinasema imefutwa rasmi, uzi wenyewe unaonesha kushangaaashangaa, hujui kama ipo au haipo. Hata vigezo vya kuitumia pia ni kama huvijui. Sasa tuchangie nini
 
Mbona hueleweki, kicha cha habari kinasema imefutwa rasmi, uzi wenyewe unaonesha kushangaaashangaa, hujui kama ipo au haipo. Hata vigezo vya kuitumia pia ni kama huvijui. Sasa tuchangie nini

Hii style ya uandishi inaitwa Janjajanja style. Jamaa hajaenda Law school fursa inampita hivi hivi...
 
Ambacho huelewi nin nini
Bachelor Degree in Law, with accomplishment of internship or law school of
Tanzania.

Ni utaratibu kama ulivyo kwa ma architects,QS,ENGINEERS hata Dr`s.
 
Hujamaliza shule unalalamika nn?
 
Kujiunga na shule ya sheria imeleta ukiritimba wa khali ya juu ktk soko la ajira na kuwaamisha waajiri ya kwamba kuhitimu mafunzo hayo ndo una kua nguli wa sheria lkn hii inakua ndivyo sivyo kwa mazingira yafuatayo;
1.wanafunzi walio wengi wanasoma kwa kukalili ili waweze kufauhulu siyo kuijua sheria
2.hata baada ya masomo wengi practice zinawashinda hadi abebwe na wakili mzoefu au akae firm,
ni bora utaratibu wa bar exam urudi kwani kwa ushaidi uliopo mawakili walio wengi ambao walipitia utaratibu huu wako makini sana na wanaijua kazi pia hata kwa mtazamo tu kijana ambae ni fresh from school akikaa firm hata mwaka mmoja tu huwezi kumlinganisha na mtu alie toka shule ya sheria ambae aliingia direct
 
Kwani walioanzisha hiyo shule sio mawakili?
 
Oops, afadhali, kidogo nidhanie wameacha kudahili kabisa kitivo cha sheria, mabinti warembo tungewapata wapi sie.
 
Nenda shule ww acha kutokwa povu nchi imeuzwa hiiii

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Mbona hueleweki, kicha cha habari kinasema imefutwa rasmi, uzi wenyewe unaonesha kushangaaashangaa, hujui kama ipo au haipo. Hata vigezo vya kuitumia pia ni kama huvijui. Sasa tuchangie nini

...anaeleweka vizuri mkuu, tulia then usome kwa umakini, nafikiri hujaona alama ya kuuliza hapo mwishoni, cha msingi jibu alichouliza usikosoe sana uandishi maana concept yake imeeleweka
 
Huwezi kuwa Daktari wa Kutambulika au mtu yeyote wa Kada ya Afya kama hujafanya Internship mwaka mmoja..(Tena hapa ukipatikana una-ptactice bila kupitia Intern ujue ni kifungo au Fain au vyote kwa pamoja)

Nafikiri ni sawa na Law...
 
Utakua na kimeo law school au hukwenda kabisa, haiewezekani, usome kozi nyingine halafu uanze kuuliza mambo yasiyokuhusu kama unavyotaka tuamini
 
Mbna untchanganya sasa we c umesema imefutwa rasmi ila mfutaji ni nani na kwann amefuta
 
Hata madaktari wanapitia mafunzo ziada (internship) ndiyo wanaapishwa kwenda kupiga kazi. Umechagua kuwa mwanasheria inabidi utimize tu
 
Mbona hueleweki, kicha cha habari kinasema imefutwa rasmi, uzi wenyewe unaonesha kushangaaashangaa, hujui kama ipo au haipo. Hata vigezo vya kuitumia pia ni kama huvijui. Sasa tuchangie nini

Relax alufu rudi ujeuandike tena
 
Oops, afadhali, kidogo nidhanie wameacha kudahili kabisa kitivo cha sheria, mabinti warembo tungewapata wapi sie.

Nani amekuibia ID yako my dear?....nadhani utafanya utaratibu wa kubadilisha password..ili wasi-itumie vibaya unapokuwa haupo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…