Shahada za heshima alizotunukiwa Samia Suluhu Hassan tangu awe Rais

Ex Spy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2007
Posts
346
Reaction score
2,968
1780680391079.png

Tangu awe Rais, Machi 2021, Rais Samia ametunukiwa PhD hizi:

1. Novemba 2022: Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika masuala ya Binadamu na Sayansi ya Jamii - Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

2. Oktoba 2023: Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru - India

3. Desemba 2023: Shahada ya Heshima katika Usimamizi wa Utalii na Masoko. Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA)

4. Aprili 2024: Shahada ya Heshima ya Uzamivu katika Uchumi. Chuo Kikuu cha Ankara - Uturuki

5. Juni 2024: Udaktari wa Falsafa wa Heshima katika sekta ya Anga - Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) - Korea Kusini

6. Novemba 2024: Shahada ya Heshima katika Uongozi. Chuo Kikuu cha Mzumbe

7. Aprili 2026: Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi. Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa - Nigeria

8. Juni 4, 2026 Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow - Russia

Pia soma
~ Chuo cha Urusi kitakacho Mtunuku PhD Samia Suluhu, kina hadhi kama Amazon Collage au SUZA ya Zanzibar
 
Zinatusaidia nini sisi kenge mkuu? Nikolai Ceausescu alikuwa na zaidi ya 26 na hazikua na msaada raia walipoamua kuua udikteta ndani ya nchi yake, alikufa kwa aibu akiamiani raia wanampenda kwa kujenga mamiundombinu huku akitesa na kuua raia! Walipomgeuka hakuamini na wasaidizi wake kina russia na madikteta wengine walitazama tu akibaki na mkewe Elena
 
Kuna kitabu cha literature niliwahi kusoma, nimesahau title yake nadhani ni A Grain of Wheat, Man of the People au Song of Okoli and Lawino...kuna mahali amlikua anaeleza jinsi Viongozi wa africa wakienda huko wanavyodanganywa na vyeo na Degree na kuachia rasilimali
 
Bigii...Mimi naona nimeshafeli huu mtihani, nipo Msamvu najibu swali la fishing industry in Chineri?...
 
Tangu awe Rais, Machi 2021, Rais Samia ametunukiwa PhD hizi:

1. Novemba 2022: Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika masuala ya Binadamu na Sayansi ya Jamii - Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

2. Oktoba 2023: Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru - India

3. Desemba 2023: Shahada ya Heshima katika Usimamizi wa Utalii na Masoko. Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA)

4. Aprili 2024: Shahada ya Heshima ya Uzamivu katika Uchumi.Chuo Kikuu cha Ankara - Uturuki

5. Juni 2024: Udaktari wa Falsafa wa Heshima katika sekta ya Anga - Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) - Korea Kusini

6. Novemba 2024: Shahada ya Heshima katika Uongozi. Chuo Kikuu cha Mzumbe

7. Aprili 2026: Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi. Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa - Nigeria

8. Juni 4, 2026 Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow - Russia
Mtu hawi msomi mpaka amesoma. Siyo vinginevyo!
 
Umesahau ya Korea mzee, hahaha
 
Back
Top Bottom