kwani wengine zimewasaidi nini gentleman kwa mfano,Hivi zimemsaidia nini.
Kuna kitabu cha literature niliwahi kusoma, nimesahau title yake nadhani ni A Grain of Wheat, Man of the People au Song of Okoli and Lawino...kuna mahali amlikua anaeleza jinsi Viongozi wa africa wakienda huko wanavyodanganywa na vyeo na Degree na kuachia rasilimali
Hazina msaada wowote zaidi ya kumpumbaza mpokeaji.Hivi zimemsaidia nini.
Imegoma kabisa kuponaSema neno, na roho yako itapona
Mtu hawi msomi mpaka amesoma. Siyo vinginevyo!Tangu awe Rais, Machi 2021, Rais Samia ametunukiwa PhD hizi:
1. Novemba 2022: Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika masuala ya Binadamu na Sayansi ya Jamii - Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
2. Oktoba 2023: Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru - India
3. Desemba 2023: Shahada ya Heshima katika Usimamizi wa Utalii na Masoko. Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA)
4. Aprili 2024: Shahada ya Heshima ya Uzamivu katika Uchumi.Chuo Kikuu cha Ankara - Uturuki
5. Juni 2024: Udaktari wa Falsafa wa Heshima katika sekta ya Anga - Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) - Korea Kusini
6. Novemba 2024: Shahada ya Heshima katika Uongozi. Chuo Kikuu cha Mzumbe
7. Aprili 2026: Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi. Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa - Nigeria
8. Juni 4, 2026 Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow - Russia
Umesahau ya Korea mzee, hahahaTangu awe Rais, Machi 2021, Rais Samia ametunukiwa PhD hizi:
1. Novemba 2022: Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika masuala ya Binadamu na Sayansi ya Jamii - Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
2. Oktoba 2023: Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru - India
3. Desemba 2023: Shahada ya Heshima katika Usimamizi wa Utalii na Masoko. Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA)
4. Aprili 2024: Shahada ya Heshima ya Uzamivu katika Uchumi.Chuo Kikuu cha Ankara - Uturuki
5. Juni 2024: Udaktari wa Falsafa wa Heshima katika sekta ya Anga - Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) - Korea Kusini
6. Novemba 2024: Shahada ya Heshima katika Uongozi. Chuo Kikuu cha Mzumbe
7. Aprili 2026: Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi. Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa - Nigeria
8. Juni 4, 2026 Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow - Russia
Kweli machawa ni watu wabaya sana, hawawezi kukwambia ukweli kamwe.View attachment 3601013Uchawa kwa sasa ni full time job..
Hizo ni za kukuwezesha kuishi mjini tu!😁Kuna “Elimu Mbalimbali” lakini mkuu