Shahada za heshima alizotunukiwa Samia Suluhu Hassan tangu awe Rais

Apewe tuu,tatizo ni pale anapojitambulisha kama Dr Samia suluhu Hassan, kuna wengine kama Dr Babu Tale,Dr Musukuma etc hao ndio viongozi wa nchi πŸ€”
 
Kweli machawa ni watu wabaya sana, hawawezi kukwambia ukweli kamwe.
Katika falsafa , inafundishwa sifa kwa binadamu ni kitu kizuri na hakuna binadamu asiyependa kusifiwa .

Ila sifa zikizidi sana ni wakati wa kurudi nyuma na kujitafakari, bahati mbaya huyu mwenye elimu mbalimbali katudhihirishia humo kichwani kwake "voltage" ziko chini kwa kiwango cha kutisha hata asishtuke kwanini anasifiwa kupitiliza hata ambapo yeye mwenyewe tu anaona hapa nimevishwa kilemba cha ukoka.

Kupitia sifa hizi uchawa umekua ni ajira kwa watu na kuna watu wamefanikiwa kujipenyeza sehemu nyingi tu hata wasizostahili kwa sababu ya uchawa , hii ni hatari kwa nchi na maendeleo ya muda mrefu.
 

Next ni kupewa uprofesa tu. Hakuna namna πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Apewe tuu,tatizo ni pale anapojitambulisha kama Dr Samia suluhu Hassan, kuna wengine kama Dr Babu Tale,Dr Musukuma etc hao ndio viongozi wa nchi πŸ€”
Kuna wajinga kusoma hawataki ila title za kisomi wanazipenda kama wazaramo wanavyopenda vigodoro.
 
Du! Ngoja nisi comment miye mtoto wa jalalani, nikaambiwa huyo ni raisi ata akijamba sema amepuliza perfume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…