Shahidi amtambua Jaji kama mtuhumiwa wa mauaji

Mahakimu na Majaji wameutumia ushahidi wa watoto kama huyo kuwaangamiza washtakiwa kwenye kesi mbalimbali hasa za kubaka, hivyo ushahidi wa huyo mtoto uzingatiwe.
Jeshi la polisi lifanye uchunguzi
 
Jaji akamuuliza maswali ambayo yakaonesha kuwa moto huyo hana ufahamu wa kutosha.

Angempointi mdau kizimbani, huyo mdau angepata hiyo nafasi?
Angempoint mshtakiwa jaji huyo huyo angeupokea ushahidi wa huyo mtoto
 
Mtoto kituko, Jaji kituko, Sheria kichefuchefu. Moito wa miaka 9 unamuapisha nini ikiwa Mkataba tu hapaswi kuuingia
 
katakuwa katoto ka generation z
 
Katika vitu huwa vinaheshikika ni ushahidi wa mtoto. Hawezi kidanganya, ni nadra sana kusimgizia
Hivi miaka 9 ni mtoto embu acha zako Mimi nikiwa na miaka 9 nilikua na akili timamu kabisa na mbususu nachakata Sasa huyo miaka 9 Gani mpaka asiseme uongo hapo anataka kuvuruga kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…