Cathelin
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,071
- 3,995
Shahidi wa Jana wa jamuhuri kwenye kesi ya Mbowe, alisema aliweza ku-hack Telegram ya Mweshimiwa Mbowe na Kina Urio.
Kupitia ku-hack Telegram aliweza kusoma meseji za Mbowe na kuona wanavyopanga ugaidi.
Toka kuanzishwa kwa Telegram hakuna binadamu yeyote ashawahi hack- Telegram, serikali ya urusi ilijaribu ikashindwa, Google walijaribu wakashindwa.
So huyu Mtanzania mwenzetu aliyeweza ku-hack Telegram ya Mbowe ndo mtu wa kwanza duniani kufanya hivyo.