Shahidi Inspector Innocent Ndowa wa Jamhuri ndiye binadamu wa kwanza duniani kudukua mawasiliano Telegram

Shahidi Inspector Innocent Ndowa wa Jamhuri ndiye binadamu wa kwanza duniani kudukua mawasiliano Telegram

Asante,hapo nimekuelewa,nadhani mawazo yako yanafanana na nilichosema huko juu,kwamba labda walimpokonya simu wakaona hayo mawasiliano na sio kudukua
Wewe kweli kiazi unafatilia kesi au unabwabwajwa tu jamaa kasema alidukua Telegram na watsapp we unabisha
 
Shahidi wa Jana wa jamuhuri kwenye kesi ya Mbowe, alisema aliweza ku-hack Telegram ya Mweshimiwa Mbowe na Kina Urio.

Kupitia ku-hack Telegram aliweza kusoma meseji za Mbowe na kuona wanavyopanga ugaid...
Yani policeccm ni genge la wapumbavu na wajinga,hacker mwenyewe zero brain
 
Asante,hapo nimekuelewa,nadhani mawazo yako yanafanana na nilichosema huko juu,kwamba labda walimpokonya simu wakaona hayo mawasiliano na sio kudukua
Alipelekewa simu nane na za Mbowe zikiwa humo
 
Shahidi wa Jana wa jamuhuri kwenye kesi ya Mbowe, alisema aliweza ku-hack Telegram ya Mweshimiwa Mbowe na Kina Urio.
...
Chadema mnahangangaika na vipande vipande vya ushahidi.

Shahidi kaweka kila kitu hadharani kwa kusoma vipengele vyote vya mawasiliano ya Urio na Mbowe na jinsi zoezi la ukusanyaji wa vijana (Makomandoo).
Lilivyokuwa linaratibiwa.

Miamala ya pesa na namba husika toka kwa Mbowe.

Hata kwenye zile updates zenu mahakamani humu JF mmeruka hicho kipengele chote.

Gazeti la mwananchi ndilo pekee limekuwa na uthubutu wa kuandika kwa kirefu.

Halafu wewe #Cathelin unatuletea mchepuko wa topic isiyo na kichwa wala miguu?
 
Shahidi wa Jana wa jamuhuri kwenye kesi ya Mbowe, alisema aliweza ku-hack Telegram ya Mweshimiwa Mbowe na Kina Urio.

Kupitia ku-hack Telegram aliweza kusoma meseji za Mbowe na kuona wanavyopanga ugaidi.

Toka kuanzishwa kwa Telegram hakuna binadamu yeyote ashawahi hack- Telegram, serikali ya urusi ilijaribu ikashindwa, Google walijaribu wakashindwa.

So huyu Mtanzania mwenzetu aliyeweza ku-hack Telegram ya Mbowe ndo mtu wa kwanza duniani kufanya hivyo.

View attachment 2087557View attachment 2087558
Hacking huijui wewe.
 
Back
Top Bottom