Shahidi Inspector Innocent Ndowa wa Jamhuri ndiye binadamu wa kwanza duniani kudukua mawasiliano Telegram

Shahidi Inspector Innocent Ndowa wa Jamhuri ndiye binadamu wa kwanza duniani kudukua mawasiliano Telegram

Ngoja waje Bavicha!

Mbona panya magawa anategua mabomu.......rip panya wa kwanza!
Panya Magawa ana thamani kuliko huyu fisadi anaehamasisha ufisadi kwenye serikali yake.
 
Hebu tufafanulie hapa unamaanisha nini kwamba alikuwa na kifaa husika?
mimi nikiwa nakutumia msg watsap , Twitter au telegram ... mtu wa tatu ( third part) ni ngumu ama haiwezekani kuona hayo mazungumzo ... angalia huu mfano nikikutumia msg ya kawaida mtu mwingine ambaye sio mimi wala huyo niliyemtumia ( third part) anaweza kuona hiyo msg mfano hao waliotoa ushahidi mtoa huduma kama Tigo ...

Lakini ukitumia telegram au watsap na mitandao yenye kaliba moja na hii ...Ni ngumu na mara nyingine haiwezekani , sasa alichofanya huyo askari ni kwamba aliletewa simu za washtakiwa kwa hiyo hapa hawi-third part maana anachofanya ni-retrieving na unaweza ukute hata msg zenyewe hawakuzifuta ...sijui umeelewa chief
 
Kivip haiwezakani kabisa kwa hivo hapo kuna uongo mkubwa
Mimi nikichukua simu yako nikaangalia msg zako unaweza kuniita upande wa tatu ...hacking ambayo ni ngumu nikuangalia nikiwa sina simu yako lakini nikiipata hiyo ni case nyingine chief tena simu zenyewe ulizisikia ni Tecno , Itel , bundy ni sekunde tu hata ikiwa na password
 
mimi nikiwa nakutumia msg watsap , Twitter au telegram ... mtu wa tatu ( third part) ni ngumu ama haiwezekani kuona hayo mazungumzo ... angalia huu mfano nikikutumia msg ya kawaida mtu mwingine ambaye sio mimi wala huyo niliyemtumia ( third part) anaweza kuona hiyo msg mfano hao waliotoa ushahidi mtoa huduma kama Tigo ... lakini ukitumia telegram au watsap na mitandao yenye kaliba moja na hii ...Ni ngumu na mara nyingine haiwezekani , sasa alichofanya huyo askari ni kwamba aliletewa simu za washtakiwa kwa hiyo hapa hawi-third part maana anachofanya ni-retrieving na unaweza ukute hata msg zenyewe hawakuzifuta ...sijui umeelewa chief
Sasa hapo kahack au kasoma toka kwenye simu? Hivyo kadanganya kuwa alihack hafai kuaminika
 
Mimi nikichukua simu yako nikaangalia msg zako unaweza kuniita upande wa tatu ...hacking ambayo ni ngumu nikuangalia nikiwa sina simu yako lakini nikiipata hiyo ni case nyingine chief tena simu zenyewe ulizisikia ni Tecno , Itel , bundy ni sekunde tu hata ikiwa na password
Yeye alisema ali-hack
 
Tatizo mnadanganywa sana, urusi ishindwe kuhack telegram?
Usiendeleze udhaifu wetu wa kudanganywa tutendee haki basi em wewe usiyependa kudanganya tuwekee link hapa inayosema Urusi ilishawahi kuidukua telegram.

Tafadhali sana
 
mimi nikiwa nakutumia msg watsap , Twitter au telegram ... mtu wa tatu ( third part) ni ngumu ama haiwezekani kuona hayo mazungumzo ... angalia huu mfano nikikutumia msg ya kawaida mtu mwingine ambaye sio mimi wala huyo niliyemtumia ( third part) anaweza kuona hiyo msg mfano hao waliotoa ushahidi mtoa huduma kama Tigo ... lakini ukitumia telegram au watsap na mitandao yenye kaliba moja na hii ...Ni ngumu na mara nyingine haiwezekani , sasa alichofanya huyo askari ni kwamba aliletewa simu za washtakiwa kwa hiyo hapa hawi-third part maana anachofanya ni-retrieving na unaweza ukute hata msg zenyewe hawakuzifuta ...sijui umeelewa chief
Asante,hapo nimekuelewa,nadhani mawazo yako yanafanana na nilichosema huko juu,kwamba labda walimpokonya simu wakaona hayo mawasiliano na sio kudukua
 
Shahidi wa Jana wa jamuhuri kwenye kesi ya Mbowe, alisema aliweza ku-hack Telegram ya Mweshimiwa Mbowe na Kina Urio.

Kupitia ku-hack Telegram aliweza kusoma meseji za Mbowe na kuona wanavyopanga ugaidi.

Toka kuanzishwa kwa Telegram hakuna binadamu yeyote ashawahi hack- Telegram, serikali ya urusi ilijaribu ikashindwa, Google walijaribu wakashindwa.

So huyu Mtanzania mwenzetu aliyeweza ku-hack Telegram ya Mbowe ndo mtu wa kwanza duniani kufanya hivyo.

View attachment 2087557View attachment 2087558
Ni mwendelezo tu wa askari wetu kuaibika kwa ujinga wao,hii itumiwe na upande wa utetezi km silaha
 
Kwani Urusi ni maroboti mkuu?
Si binadamu kama wengine tu na vifaa watakavyotumia kudukulia ni vile vile ambavyo wadukuliwa wanavyo Sasa kinashindikana ni Nini hii Dunia Ina taasisi na kampuni zenye mfumo strong kuliko hata nchi hivyo usistaajabu!
Mapenzi yakizidi ni ujinga unafuata. Jamaa anaamini ktk urusi kwamba hamna wanachoshindwa
 
Back
Top Bottom