Hata Whatsapp ni ngumu sana ku hack.Tatizo mnadanganywa sana, urusi ishindwe kuhack telegram?
Kwani Urusi ni maroboti mkuu?Tatizo mnadanganywa sana, urusi ishindwe kuhack telegram?
Kivip haiwezakani kabisa kwa hivo hapo kuna uongo mkubwaYeye alikua na kifaa husika , kwa hiyo hakua third part ... alichokua anafanya ni ku-retrive tu sio ku-hack kwa mtindo ule wa upande wa-tatu
Hebu tufafanulie hapa unamaanisha nini kwamba alikuwa na kifaa husika?Yeye alikua na kifaa husika , kwa hiyo hakua third part alichokua anafanya ni ku-retrive tu sio ku-hack kwa mtindo ule wa upande wa-tatu