Purpose ya cross examination ni kuonesha udhaifu wa shahidi ie to discredit his evidence.
1. Nadhani Lisu ameweza kuonesha kuwa shahidi ni mwongo! Alikuwa anakataa vitu ambavyo kama mpelelezi wa polisi ngazi ya juu, anapashwa kuvijua. Kama havijui basi hafai kuaminiwa katika ushahidi wake.
2. ....