Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
Jeshi la polisi linahitaji mabadiliko makubwa ya haraka sana. Kuanzia katika vigenzo vya kujiunga na mafunzo. Ukiangalia cheo cha shahidi na namna anavyojibu unaona kabisa hapa kuna shida.
Hawa watu ndio tunawetegemea watulinde sisi na mali zetu. Hii kesi ya "mchongo" itafunua mambo mengi mazito. Tusubiri hao mashahidi wengine tusikie habari zao.
Hawa watu ndio tunawetegemea watulinde sisi na mali zetu. Hii kesi ya "mchongo" itafunua mambo mengi mazito. Tusubiri hao mashahidi wengine tusikie habari zao.